Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Duniani kuna mzaha na utani mwingi sana, utakuta mtu yaani mlimwengu mzinifu, msherati,mlevi, mla rushwa, mbea, muongo, mwizi, mnafiki, mfitini, mtu wa dhuluma,muuaji.
Hivi hawa watu wanapata wapi nguvu ya kusema oooh Mungu atakulipia, Mungu yupi huyo anaekuongoza kwenye hizo dhambi zako zote zinazojaa contena la futi 40,?
Uongo dhambi bila toba utabaki mdebwedo tu na utateseka sana.
Tuache mzaha na Mungu. Mungu ana mambo mengi sana kwanza hajamalizana na wewe kukushughulikia kwa muendelezo wa dhambi zako.
Fanya toba kwanza ndio malaika wapiganaji wakuingia bila hivo utashindwa vita zote.
Ukikaidi Ndoige na Peresu Peresu zitakuhusu usilalamikw.
Good morning!!
Wadiz.