Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
akalime tikiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina mkuuHuyo jamaa hawezi telekezwa kirahisi hivyo.
kilimo cha madaftari tu kile mkuu, we unakiamini?😂😂akalime tikiti
Acha roho mbaya mkuu! akinyongwa wewe utfaidka nini
Shindwaa...!Pepo mchafu toka
Sawa Hakimu wa Duniani na Jehanam!Nakushauri DUA ombea ukoo wako japo waweze kujitambua na kujua nini tofauti kati ya usiku na mchana!
Unaemuombea dua ni 'wanted' duniani na jehenam ni suala la muda tu
Nasemaa Shindwaaa.... kwa jina la Yesu!