Dua zenu kwa jeshi la Jangwani

Dua zenu kwa jeshi la Jangwani

Aaaah we nifah kweli warumi ameishakuambukiza umbea si kidogo, yaani hukai na kitu kifuani looh!!
sa aliyekwambia umwite lara 1 nani we mwanamke??? khaa! huoni mwenyewe nilikuwa nakunong'oneza tu sikioni mwenyewe asisikie, ona sasa umeniumbua sasa tiyari loh!!

Ila kweli the lady deserves uongo mbaya

Hahahahaaa warumi kaniharibu sio kidogo! First time kabla sijajiunga JF nilikua mbea kidogo lakini sasa nimezidi!

Pole kwa kukutibulia surprise yako, ila muulize kwanza usijemuunga kwa kumfanyia surprise kumbe tayari ana bundle!

Yeah,I agree with you mito.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa warumi kaniharibu sio kidogo! First time kabla sijajiunga JF nilikua mbea kidogo lakini sasa nimezidi!

Pole kwa kukutibulia surprise yako, ila muulize kwanza usijemuunga kwa kumfanyia surprise kumbe tayari ana bundle!

Yeah,I agree with you mito.

Aaaaaah Usijali best, ndo hivo tena surprise ushaibumbulua tiyari .......yaa nitazingatia ushauri wako kwa red

teh teh umenichekesha eti ulikuwaga mbea kidogo ila sasa warumi kakufunda umefundika haswaa
 
Last edited by a moderator:
yanga ishinde?, mimi ni mwanachama wa yanga na nna kadi ila kusema yanga kushinda tunajidanganya. Kimpira wale jamaa hatuwawezi ata tuingie uwanjani 15.....m nakupa ahadi tu yanga ikifunga ata goli moja bila kuangalia watapita au hawatapita nipigwe ban ya miaka 16 j.f.
 
kitendo cha draw hapa nyumbani ndala mlikosea sana! Wale jamaa ukitaka kuwatoa yaani wakija kwenu wapige 7 bila halafu ukiwafuata wanarudisha zote mnaingia matuta sasa hapo mnaanza kubahatisha!

Mtani kwa hili sikutanii, jamaa watakubamiza nyingi na mtarudi trekta kila mtu na njia yake! Eti yanga amtoe mwarabu thubutuuu!
 
Back
Top Bottom