Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Aaaah we nifah kweli warumi ameishakuambukiza umbea si kidogo, yaani hukai na kitu kifuani looh!!
sa aliyekwambia umwite lara 1 nani we mwanamke??? khaa! huoni mwenyewe nilikuwa nakunong'oneza tu sikioni mwenyewe asisikie, ona sasa umeniumbua sasa tiyari loh!!
Ila kweli the lady deserves uongo mbaya
Hahahahaaa warumi kaniharibu sio kidogo! First time kabla sijajiunga JF nilikua mbea kidogo lakini sasa nimezidi!
Pole kwa kukutibulia surprise yako, ila muulize kwanza usijemuunga kwa kumfanyia surprise kumbe tayari ana bundle!
Yeah,I agree with you mito.
Last edited by a moderator: