Dubai: Falme za Kiarabu (UAE) kuishambulia Iran ili kulinda usalama wake

Ozon

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
2,910
Reaction score
4,711
TAARIFA MPYA: UAE imesema mabaki ya kombora la Iran yaliyoanguka yameangukia maeneo ya makazi jijini Abu Dhabi, na kwamba shambulio hilo limekiuka mamlaka yake ya kikatiba; UAE imehifadhi haki ya kujibu.

 
Wakishinda niite mbwa nimekaa paleees.... Wale washindane kuoa ila sio vita
 
TAARIFA MPYA: UAE imesema mabaki ya kombora la Iran yaliyoanguka yameangukia maeneo ya makazi jijini Abu Dhabi, na kwamba shambulio hilo limekiuka mamlaka yake ya kikatiba; UAE imehifadhi haki ya kujibu.

View attachment 3549951
Hawawezi hao akili zao zote zipo kwenye utalii hata ulinzi wa nchi zao wamemuachia US.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…