DUBAI mbona pa kawaida mno? Shobo ya nini?

Mleta mada hebu tupe historia yako na ugonjwa wa malaria? au je kwenu mna asili ya kuugua uendawazimu?
 
Imebidi nicheke. Mara yangu ya kwanza kutia guu jijini Los Angeles basi likaja mwanaume nikawa nimejiandaa ready kugombania seat. Ajabu naona watu wako calm wanaingia kwa ustaarabu sana. Hata wanaokosa seat wanashika bomba bila wasiwasi na lilipojaa dereva akasema lingine linakuja within 5 minutes. Wengine waliohisi kubanana wakashuka kistaarabu tu kusubiri hilo jingine linalokuja. Ndo nikajua kuwa nilikuwa nimeingia dunia nyingine aisee...

Sisi hata kama hamko wengi kituoni DCM ikija ni lazima kugombania. Sijui ni hulka ama nini sijui!
 
Hili linathibitisha uelewa wana JF hawana exposure ya kutosha kipi cha ajabu mm kutafuta changu dubai nikalinganisha na ubora wa south Africa?
 

True dat.
Kule ukishika bomba kwenye bus au train umependa wala hakuna harufu mbaya kuumiza pua hahaha....london siku ya kwanza nilipata shida kupenya kwenye zile barriers cz ni lazima uingize ur tickect upite then itoke on the other side....ndio beib flan wa ki sierra leone akaniambia ninunue oyster card ni kama extreme ya usafiri kama tigo hahaha unatumia usafiri regulary kwa budget na muda flan maalum.

Kurudi bongo ile mi DCM ya Mwenge - G/Mboto na hilo jua sasa...daah hahaha man kama kuna uwezekano utatamani ugeuze pale pale airport urudi mbelez. Hahaha
Ila ndio kwetu bana tufanyaje sasa...Lol
 
Asante mkuu kwa taarifa nimeshabadilisha ratiba nilitaka kwenda Dubei hii summer. Nimeghair nitaenda sauz kwenye mizigo iliyosheghen mav
 
Inaonekana kama ulienda Dubai kutafuta malaya
 
kweli dunia inaelekea ukingoni yani mtu na akili zake anawekeza pesa ili aende dubai kutafuta malaya badala ya kwenda kupata exposure na opportunity mbalimbali zinazopatikana kule kwel ujinga ni mzigo aise
 
Kila mtu na swaga Zake. Kama ww unaenda dubai semina kwa nn wengine wasiende kula raha za MFEREJI MARINGOI ?
 
Hata kama hakuzurura sana anataka kusema JNIA ni sawa na ule wa Dubai!!
 
Dah...kumbe kutalii ndiyo maana yake kutafuta madem Ungemtafuta mwenyeji akuonyeshe wapi kuku wa kiasia, au wa kisomali au kizungu wanapatikana. Naamini ungefurahia "utalii" wako[emoji12]
 
ukute wewe ulienda DEIRA nako unasema umeenda DUBAI acha ubahili wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…