GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,279
- 2,921
Hata kama alienda hakutembea Mkuu (hakufika sehem muhimu)Wewe haukwenda Dubai. Acha zogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama alienda hakutembea Mkuu (hakufika sehem muhimu)Wewe haukwenda Dubai. Acha zogo.
Imebidi nicheke. Mara yangu ya kwanza kutia guu jijini Los Angeles basi likaja mwanaume nikawa nimejiandaa ready kugombania seat. Ajabu naona watu wako calm wanaingia kwa ustaarabu sana. Hata wanaokosa seat wanashika bomba bila wasiwasi na lilipojaa dereva akasema lingine linakuja within 5 minutes. Wengine waliohisi kubanana wakashuka kistaarabu tu kusubiri hilo jingine linalokuja. Ndo nikajua kuwa nilikuwa nimeingia dunia nyingine aisee...Ye kno the drill.
Wenzetu wako soo organised...yan unangoja basi kituo una check ratiba ya bus online na tickects unaweza book & pay online, yako always on time. Bus likichelewa sana ni dakika 5. Train ni almost accurate.
Issue hapa nikujifunza kwa wenzetu nchi kama UK hawana anything big to make that country that much wealthy but ni discipline na visions tu. Hata hapa bongo inawezekana tukiamua.
Kwanza kabisa tuanze na good financial infrustructure.....ifike a point hata kununua juice kwa mangi tununue na card ya bank au mobile money bila makato yoyote ya kipuuzi. Bank charges kwa wenzetu ni almost zero....ni charges ndogo ndogo sanaa.
Imebidi nicheke. Mara yangu ya kwanza kutia guu jijini Los Angeles basi likaja mwanaume nikawa nimejiandaa ready kugombania seat. Ajabu naona watu wako calm wanaingia kwa ustaarabu sana. Hata wanaokosa seat wanashika bomba bila wasiwasi na lilipojaa dereva akasema lingine linakuja within 5 minutes. Wengine waliohisi kubanana wakashuka kistaarabu tu kusubiri hilo jingine linalokuja. Ndo nikajua kuwa nilikuwa nimeingia dunia nyingine aisee...
Sisi hata kama hamko wengi kituoni DCM ikija ni lazima kugombania. Sijui ni hulka ama nini sijui!
Dah...kumbe kutalii ndiyo maana yake kutafuta madem Ungemtafuta mwenyeji akuonyeshe wapi kuku wa kiasia, au wa kisomali au kizungu wanapatikana. Naamini ungefurahia "utalii" wako[emoji12]Wadau! kiukweli nilikuwa nasikia sifa za Dubai nikawa natamani kwenda kwa miaka kadhaa nimekuwa nikijpanga /kuweka pesa ya nauli mwezi Februari nikaona ofa ya FLYDUBAI 50% OFF nikakata tiketi ya kwenda huko kutalii daah nilipofika kiukweli tofauti na sifa zooote nilizokuwa nahadithiwa!
Nimekuta pa kawaida mno na vitu vingi mule ni (Artificial) tu. Hata "dada zetu" wabovu sana (sura & shepu ni msiba, wengi ni toka Nigeria & Kenya na bei ghali mno, 100 USD/one hour.
Kwa mtazamo wangu bora kwenda kutalii South Africa ambako mizigo ya maana, hasa wapenda MATINGINYA kuliko niliyoyaona Dubai. Kimsingi najutia pesa (Nauli = japo ilikuwa OFA 50% na malazi niliyolipia).