Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Ukiona watu wanatembelea range usiogope ila muulize peleka kwa wakala wa range litengenezwe maana litakuwa na history.
Nimeona bora kuwaletea hii mada kuna mikasa mingi ya wizi wa magari USA,wingereza na Europe na zote walalamikaji wadai magari mengi kuonekana dubai ndio kitovu cha soko.
Upande wa south afrika wizi wa magari kama wizi wa kukwapua simu.
Ila kazi kwako