Safi sanaDUBAI, ABU DHABI, SHARJAH,,AL AIN,AJMAN ,FUJAYRAH UMM AL QUWAIN NA RAS Al-KHAYMAH KWA PAMOJA NDIO ZIMEUNGANA NA KUWA NCHI MOJA INAYOITWA SASA UNITED ARAB EMIRATES KWA KIFUPI UAE
nchi ni United Arab Emirate U.A.Ekabisa kabisa Dubai ni nchi
Mkuu wake zetu wangekua kwenye wakati mgumu[HASHTAG]#FAHAMU[/HASHTAG] Dubai ndio nchi pekee duniani ambayo askari polisi wake wanatumia magari ya kifahari zaidi na yenye spidi kali zaidi.
Polisi hao wanatumia magari aina ya Bugatti Veyron, Ferrarri FF au Lamborghini Aventador wanapokuwa kwenye kazi zao na kukamata wahalifu.
Hii ingekuwa bongo unadhani hali ingekuwaje!?
😀😀Dah! Kwahiyo kama hujawahi kupanda Bugatti inabidi uende Dubai afu jitose kuwa kibaka ili wakukamate wakupeleke central na Bugatti.
inaelekea ndo michezo yako kupenda ma WPNimempenda Bure huyo WP
Lakini si wanatumia polisi?[emoji41][emoji41]Hizo gari hazifanyi Patrol kama ma land cruiser ya Tz!..
Inapotokea road chase taarifa hutumwa makao makuu ambapo huangalia mhalifu anatumia aina gani ya usafiri mf. buggati, lamboghine, ferrari, mcLaren etc. hapo sasa ndipo police task force husika inapewa go ahead kuingia mtaani
So 'Dubei' zipo gari za kawaida za police hizo super car ni kwa matukio maalum ambayo wezi wametumia super car!..
Kwa waliocheza need for speed most wanted wanajua hili!.
Hapana Dubai ni jimbo ndani ya united Arab emirates (UAE)majimbo mengine ni Sharijah Abudhabi nkSorry ivi Dubai ni nchi ?naomba kufahamishwa
Mjii mkuu ni Abudhabi.....Dubai ni mji waBiashara "Free tax zone area"ndomaana unajulikana sana kwetu AfricaSio nchi ni mji Mkuu wanchi inayoitwa United Arab Emirates
Lamboghine ndio gari gani?[emoji23][emoji23][emoji23]Hizo gari hazifanyi Patrol kama ma land cruiser ya Tz!..
Inapotokea road chase taarifa hutumwa makao makuu ambapo huangalia mhalifu anatumia aina gani ya usafiri mf. buggati, lamboghine, ferrari, mcLaren etc. hapo sasa ndipo police task force husika inapewa go ahead kuingia mtaani
So 'Dubei' zipo gari za kawaida za police hizo super car ni kwa matukio maalum ambayo wezi wametumia super car!..
Kwa waliocheza need for speed most wanted wanajua hili!.
inaelekea ndo michezo yako kupenda ma WP
haahaha haya kiongoziBOSS SIO MCHEZO NIMEMPENDA BURE WP
Dubai ni moja ya falme 7 zilizoungana na kufanya nchi inayoitwa United Arab Emirates (Umoja wa falme za kiarabu), kila falme ina kiongozi wake na serikali yake, lakini wanayo serikali ya kifederali ambayo rais wake ni kiongozi wa Abu Dhabi na ndiyo mji mkuu wa UAE.Sorry ivi Dubai ni nchi ?naomba kufahamishwa
Polisi Kitengo Maalum kwa Matukio Maalum sio mradi umeiba pochi mtaani utapakiwa kwenye lambo haitatokea!..Lakini si wanatumia polisi?[emoji41][emoji41]
Kama Zanzibar?kabisa kabisa Dubai ni nchi
[HASHTAG]#FAHAMU[/HASHTAG] Dubai ndio nchi pekee duniani ambayo askari polisi wake wanatumia magari ya kifahari zaidi na yenye spidi kali zaidi.
Polisi hao wanatumia magari aina ya Bugatti Veyron, Ferrarri FF au Lamborghini Aventador wanapokuwa kwenye kazi zao na kukamata wahalifu.
Hii ingekuwa bongo unadhani hali ingekuwaje!?