Dubai ndio nchi pekee duniani ambayo Polisi hutumia magari ya kifahari

Dubai ndio nchi pekee duniani ambayo Polisi hutumia magari ya kifahari

[HASHTAG]#FAHAMU[/HASHTAG] Dubai ndio nchi pekee duniani ambayo askari polisi wake wanatumia magari ya kifahari zaidi na yenye spidi kali zaidi.

885588eee3cd3216b1c22bca800cd0c1.jpg

Polisi hao wanatumia magari aina ya Bugatti Veyron, Ferrarri FF au Lamborghini Aventador wanapokuwa kwenye kazi zao na kukamata wahalifu.

5225ebd085c37772c8b7f519686df464.jpg

Hii ingekuwa bongo unadhani hali ingekuwaje!?
Mkuu wake zetu wangekua kwenye wakati mgumu
 
Hizo gari hazifanyi Patrol kama ma land cruiser ya Tz!..
Inapotokea road chase taarifa hutumwa makao makuu ambapo huangalia mhalifu anatumia aina gani ya usafiri mf. buggati, lamboghine, ferrari, mcLaren etc. hapo sasa ndipo police task force husika inapewa go ahead kuingia mtaani
So 'Dubei' zipo gari za kawaida za police hizo super car ni kwa matukio maalum ambayo wezi wametumia super car!..
Kwa waliocheza need for speed most wanted wanajua hili!.
Lakini si wanatumia polisi?[emoji41][emoji41]
 
Hizo gari hazifanyi Patrol kama ma land cruiser ya Tz!..
Inapotokea road chase taarifa hutumwa makao makuu ambapo huangalia mhalifu anatumia aina gani ya usafiri mf. buggati, lamboghine, ferrari, mcLaren etc. hapo sasa ndipo police task force husika inapewa go ahead kuingia mtaani
So 'Dubei' zipo gari za kawaida za police hizo super car ni kwa matukio maalum ambayo wezi wametumia super car!..
Kwa waliocheza need for speed most wanted wanajua hili!.
Lamboghine ndio gari gani?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Polisi wakibongo ndio wangepewa hizo mbona tungekoma,hapo penyewe yale magari ya makonda tuu wanatugongea mademu zetu uswahilini, je wengepata kama hizo bugatti si ndio ingekuwa ni matusi.
 
UAE ina nchi kadhaa kama ilivyo east africa nahisi ni hazitambuliki kama nchi maana wanatumia dinar wote. Abudhabi sijui nayo kama ni nchi, lakini inajitegemea japo bado ipo ndani ya UAE. nishawahi kufika abudhabi mara mbili ni pazuri sana
 
Sorry ivi Dubai ni nchi ?naomba kufahamishwa
Dubai ni moja ya falme 7 zilizoungana na kufanya nchi inayoitwa United Arab Emirates (Umoja wa falme za kiarabu), kila falme ina kiongozi wake na serikali yake, lakini wanayo serikali ya kifederali ambayo rais wake ni kiongozi wa Abu Dhabi na ndiyo mji mkuu wa UAE.
 
[HASHTAG]#FAHAMU[/HASHTAG] Dubai ndio nchi pekee duniani ambayo askari polisi wake wanatumia magari ya kifahari zaidi na yenye spidi kali zaidi.

885588eee3cd3216b1c22bca800cd0c1.jpg

Polisi hao wanatumia magari aina ya Bugatti Veyron, Ferrarri FF au Lamborghini Aventador wanapokuwa kwenye kazi zao na kukamata wahalifu.

5225ebd085c37772c8b7f519686df464.jpg

Hii ingekuwa bongo unadhani hali ingekuwaje!?

Bongo hakuna barabara ya kupita gari kama hizi. Mfano Dar hakuna hata barabara ambayo unaweza kuendesha angalau speed ya 80 Km/hr kwa sababu ya foleni sasa kuleta magari kama haya ni uharibifu tu wa resource.
 
Hii sehemu nzuri nyie acheni tu. Maana ukiwa juu maranyingi ndege za kutoka huku hufika usiku wa saa moja hadi tano. Unaona kama mji wote ni wa dhahabu hivi kwa naksh na barabara zao. Shida joto mazee utafikiri umetua dar
 
Back
Top Bottom