Dubai ndio nchi pekee duniani ambayo Polisi hutumia magari ya kifahari

Dubai sio nchi bali ni mji katika falme za kiarabu (united states Arab Emirates)
 
Hivi dubai kwann imeendelea ? Na kwann watu wake ni matajiri ?
 
Zanzibar nchi? Acheni kupovuka kwa mambo ya kipuuzi
 
Bongo hakuna barabara ya kupita gari kama hizi. Mfano Dar hakuna hata barabara ambayo unaweza kuendesha angalau speed ya 80 Km/hr kwa sababu ya foleni sasa kuleta magari kama haya ni uharibifu tu wa resource.
Mhh bagamoyo road tunapiga hadi 120 lakini usiku
 
Dubai ni Matajiri kwa Biashara
Uko sahihi. Biashara ndio msingi mkubwa wa maendeleo ya Dubai. Ilikuwa ni trading town toka miaka hio hasa kwenye biashara ya pearls, lulu kama sikosei.

Kugunduliwa kwa mafuta pia kulichangia sana kuweka misingi ya Dubai hii ya kisasa. Lakini reserve yake ya mafuta ni ndogo sana ukilinganisha na nchi nyingine za middle east kama Saudi Arabia n.k. hivyo ilibidi waanze kufiikiri ni jinsi gani watatunza maendeleo yao mafuta yatakapokwisha.

Hadi sasa uzalishaji wa mafuta umepungua sana na mchango wake kwa GDP ni chini ya 5%. Sekta zinazoendesha uchumi wake kwa sasa ni utalii(Urban tourism), ujenzi, biashara na sekta ya fedha(financial markets).
 
Kwahyo kujitegemea huko ndio kunaifanya Dubai kuwa nchi. Daaah elimu yetu Inahitaji mapinduzi makubwa sana. Ukute una degree hapo
Unazidi kuonyesha upuuzi wako.kuna mithali inasema usicheze na nguruwe mtachafuka vibaya na nguruwe atakuwa ndio anapenda. Kujua mambo ya Dubai imekuwa shidaaaaaaa.
 
Mi sijaona ufahari wowote.

Mpaka nione nchi haina wahalifu ntawaelewa.

Kwasasa Tanzania ya Magufuli inampango wa kuongeza ndege.

Wao wabaki na tugari twao Sisi tunapita hewani.daadeki.
Tunasonga, pasua anga,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…