Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Ficha ujinga wako sometimes ningekua nimeandika flamboghine/plamboghine/luandaghine ungekua sahihi nicheka na kuuliza unachotaka!.Lamboghine ndio gari gani?[emoji23][emoji23][emoji23]
lamborghini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ficha ujinga wako sometimes ningekua nimeandika flamboghine/plamboghine/luandaghine ungekua sahihi nicheka na kuuliza unachotaka!.Lamboghine ndio gari gani?[emoji23][emoji23][emoji23]
So kosa lake hiyo post jamaa amecop na kupestWe kilaz,a tangu lini Dubai ikawa nchi
Hivi dubai kwann imeendelea ? Na kwann watu wake ni matajiri ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itakuwa ya nyukiKwahyo kujitegemea huko ndio kunaifanya Dubai kuwa nchi. Daaah elimu yetu Inahitaji mapinduzi makubwa sana. Ukute una degree hapo
Kala Maharage Ya Juzi,HuyoSorry ivi Dubai ni nchi ?naomba kufahamishwa
Dubai Ni Mji Ndani Ya Nchi za Falme Za Kiarabu ( U.A.E) Ambapo Mji Mkuu wake Ni Abu Dhabindio shida yetu watz hatupendi kuuliza tukaeleshwa,ok sasa hebu tueleweshe wewe Dubai ni mji mkuu au ni nini?
Siyo Mji mKuuSio nchi ni mji Mkuu wanchi inayoitwa United Arab Emirates
Mhh bagamoyo road tunapiga hadi 120 lakini usikuBongo hakuna barabara ya kupita gari kama hizi. Mfano Dar hakuna hata barabara ambayo unaweza kuendesha angalau speed ya 80 Km/hr kwa sababu ya foleni sasa kuleta magari kama haya ni uharibifu tu wa resource.
Uko sahihi. Biashara ndio msingi mkubwa wa maendeleo ya Dubai. Ilikuwa ni trading town toka miaka hio hasa kwenye biashara ya pearls, lulu kama sikosei.Dubai ni Matajiri kwa Biashara
Unazidi kuonyesha upuuzi wako.kuna mithali inasema usicheze na nguruwe mtachafuka vibaya na nguruwe atakuwa ndio anapenda. Kujua mambo ya Dubai imekuwa shidaaaaaaa.Kwahyo kujitegemea huko ndio kunaifanya Dubai kuwa nchi. Daaah elimu yetu Inahitaji mapinduzi makubwa sana. Ukute una degree hapo