Milanzi2018
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 388
- 382
UAE hakuna Uhalifu Rate ya Uhalifu ni ndogo sanaMi sijaona ufahari wowote.
Mpaka nione nchi haina wahalifu ntawaelewa.
Kwasasa Tanzania ya Magufuli inampango wa kuongeza ndege.
Wao wabaki na tugari twao Sisi tunapita hewani.daadeki.
Tunasonga, pasua anga,...
NakubalDUBAI, ABU DHABI, SHARJAH,,AL AIN,AJMAN ,FUJAYRAH UMM AL QUWAIN NA RAS Al-KHAYMAH KWA PAMOJA NDIO ZIMEUNGANA NA KUWA NCHI MOJA INAYOITWA SASA UNITED ARAB EMIRATES KWA KIFUPI UAE
Unafananisha tanzania na dubai? Ivi dubai ni nchi mpaka uifananishe na tanzania?Mi sijaona ufahari wowote.
Mpaka nione nchi haina wahalifu ntawaelewa.
Kwasasa Tanzania ya Magufuli inampango wa kuongeza ndege.
Wao wabaki na tugari twao Sisi tunapita hewani.daadeki.
Tunasonga, pasua anga,...
Yan umenielewesha na mimi nilikua sijui pia siku zote nilikua nikijua dubai ni nchiDUBAI, ABU DHABI, SHARJAH,,AL AIN,AJMAN ,FUJAYRAH UMM AL QUWAIN NA RAS Al-KHAYMAH KWA PAMOJA NDIO ZIMEUNGANA NA KUWA NCHI MOJA INAYOITWA SASA UNITED ARAB EMIRATES KWA KIFUPI UAE
Abu Dhabi ndo mji mkuu sio DubaiSio nchi ni mji Mkuu wanchi inayoitwa United Arab Emirates
nimesoma kwa umakini maskini mimi kumbe unatusimulia ma game!Hizo gari hazifanyi Patrol kama ma land cruiser ya Tz!..
Inapotokea road chase taarifa hutumwa makao makuu ambapo huangalia mhalifu anatumia aina gani ya usafiri mf. buggati, lamboghine, ferrari, mcLaren etc. hapo sasa ndipo police task force husika inapewa go ahead kuingia mtaani
So 'Dubei' zipo gari za kawaida za police hizo super car ni kwa matukio maalum ambayo wezi wametumia super car!..
Kwa waliocheza need for speed most wanted wanajua hili!.
Umejishindia mashudu kilo sabaArusha
Baadhi ya Game ni mfano wa maisha ya sehemu fulani!!..nimesoma kwa umakini maskini mimi kumbe unatusimulia ma game!
upo sahihi kiongozi itakuwa ni kichekesho land cruiser kuikimbiza Bugatti,inamaana muharifu akiwa na Bugatti bongo ndani ya dakika chache anakuwa ameshawapotea na mawasiliano yalivyo mabovu.Hizo gari hazifanyi Patrol kama ma land cruiser ya Tz!..
Inapotokea road chase taarifa hutumwa makao makuu ambapo huangalia mhalifu anatumia aina gani ya usafiri mf. buggati, lamboghine, ferrari, mcLaren etc. hapo sasa ndipo police task force husika inapewa go ahead kuingia mtaani
So 'Dubei' zipo gari za kawaida za police hizo super car ni kwa matukio maalum ambayo wezi wametumia super car!..
Kwa waliocheza need for speed most wanted wanajua hili!.
Duuuh kuna mtu sahiv yupo kitaa alkosa mkopo wa kupata hyo digrii kwa kubaniwa na huyu wa "Nchi ya Dubai"Kwahyo kujitegemea huko ndio kunaifanya Dubai kuwa nchi. Daaah elimu yetu Inahitaji mapinduzi makubwa sana. Ukute una degree hapo