Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Mi sio mwandishi mzuri ila mwaka jana hapa JF niliweka uzi kuhusu dubai na maendeleo yake kuhusu inavyo fanya ila kama swala lilikosa mjadara.
Leo sudani ya kaskazini mfazili mkubwa ni dubai na ndiye mnunuzi kubwa na mpokeaji wa dhahabu.
Matapeli wakubwa na waficha pesa wote wapo dubai tumeona hash puppy kukamatwa kwake si dubai.
Kuna kundi kubwa scammer wanaishi dubai ambao leo ukipigwa pesa yako tambua wapo dubai.
Mifumo ya sarafu za kidigitali imejazana dubai.
Dubai imejaza pesa chafu ambazo kuna kesi moja ya North korea inasemakana baada ya udukuzi BYBIT kuibiwa pesa zilipelekwa dubai na kwenda north korea kwa ajili ya vifaa.
Sasa napata wasi wasi na jinsi hawa watu wanavyo zidi kujikita na tanzania.
Nimengi ambayo ukifatilia dubai mtaeleza wenyewe.