Ampe hii kazi AI chap tuu AI ataunyooshaMi sio mwandishi mzuri ila mwaka jana hapa JF niliweka uzi kuhusu dubai na maendeleo yake kuhusu inavyo fanya ila kama swala lilikosa mjadara.
Leo sudani ya kaskazini mfazili mkubwa ni dubai na ndiye mnunuzi kubwa na mpokeaji wa dhahabu.
Matapeli wakubwa na waficha pesa wote wapo dubai tumeona hash puppy kukamatwa kwake si dubai.
Kuna kundi kubwa scammer wanaishi dubai ambao leo ukipigwa pesa yako tambua wapo dubai.
Mifumo ya sarafu za kidigitali imejazana dubai.
Dubai imejaza pesa chafu ambazo kuna kesi moja ya North korea inasemakana baada ya udukuzi BYBIT kuibiwa pesa zilipelekwa dubai na kwenda north korea kwa ajili ya vifaa.
Sasa napata wasi wasi na jinsi hawa watu wanavyo zidi kujikita na tanzania.
Nimengi ambayo ukifatilia dubai mtaeleza wenyewe.
NILIWAAMBIA WATU HAPA JF KUWA DUBAI NI DANGURO LA WAISLAMU, MASHEKH, MAUSTADHI ,MAMUFTI NA MASWAHABA ..DANGURO LAO NI DUBAI ...MFUMO WA UCHUMI WA DUBAI UNATEGEMEA PESA CHAFU NA UTAKATISHAJI PESA KUTOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA NI UANITHI MKUBWA SANA KURUHUSU NCHI KAMA HIYO KUWA NA UWAKILISHI NA TANZANIA..ZIPO NCHI TANZANIA HATUTAKIWI KUWA NA MAUSIANO NAZO MOJAWAPO NI HIYO DUBAI ..NA UFARANSA NA USA ...mfano USA tunanini cha maana wanachl tunufaisha zaidi kutuletea UPUMBAVU WA SHERIA ZA USAWA WA KIJINSIA ILI KUTUHALIBIA TAIFAMi sio mwandishi mzuri ila mwaka jana hapa JF niliweka uzi kuhusu dubai na maendeleo yake kuhusu inavyo fanya ila kama swala lilikosa mjadara.
Leo sudani ya kaskazini mfazili mkubwa ni dubai na ndiye mnunuzi kubwa na mpokeaji wa dhahabu.
Matapeli wakubwa na waficha pesa wote wapo dubai tumeona hash puppy kukamatwa kwake si dubai.
Kuna kundi kubwa scammer wanaishi dubai ambao leo ukipigwa pesa yako tambua wapo dubai.
Mifumo ya sarafu za kidigitali imejazana dubai.
Dubai imejaza pesa chafu ambazo kuna kesi moja ya North korea inasemakana baada ya udukuzi BYBIT kuibiwa pesa zilipelekwa dubai na kwenda north korea kwa ajili ya vifaa.
Sasa napata wasi wasi na jinsi hawa watu wanavyo zidi kujikita na tanzania.
Nimengi ambayo ukifatilia dubai mtaeleza wenyewe.
Na ujanja wako pori wa kufoka online, umeshindwa kutambua kwamba Dubai sio nchi na hakuna nchi inaitwa DubaiNILIWAAMBIA WATU HAPA JF KUWA DUBAI NI DANGURO LA WAISLAMU, MASHEKH, MAUSTADHI ,MAMUFTI NA MASWAHABA ..DANGURO LAO NI DUBAI ...MFUMO WA UCHUMI WA DUBAI UNATEGEMEA PESA CHAFU NA UTAKATISHAJI PESA KUTOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA NI UANITHI MKUBWA SANA KURUHUSU NCHI KAMA HIYO KUWA NA UWAKILISHI NA TANZANIA..ZIPO NCHI TANZANIA HATUTAKIWI KUWA NA MAUSIANO NAZO MOJAWAPO NI HIYO DUBAI ..NA UFARANSA NA USA ...mfano USA tunanini cha maana wanachl tunufaisha zaidi kutuletea UPUMBAVU WA SHERIA ZA USAWA WA KIJINSIA ILI KUTUHALIBIA TAIFA
Mkuu hao usa unaowaponda unaona Sheria ya usawa tu, Bado unapoke mamilioni ya misaada Kila mwaka na mengine meeengi Kwa hisani ya watu wa marekani.NILIWAAMBIA WATU HAPA JF KUWA DUBAI NI DANGURO LA WAISLAMU, MASHEKH, MAUSTADHI ,MAMUFTI NA MASWAHABA ..DANGURO LAO NI DUBAI ...MFUMO WA UCHUMI WA DUBAI UNATEGEMEA PESA CHAFU NA UTAKATISHAJI PESA KUTOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA NI UANITHI MKUBWA SANA KURUHUSU NCHI KAMA HIYO KUWA NA UWAKILISHI NA TANZANIA..ZIPO NCHI TANZANIA HATUTAKIWI KUWA NA MAUSIANO NAZO MOJAWAPO NI HIYO DUBAI ..NA UFARANSA NA USA ...mfano USA tunanini cha maana wanachl tunufaisha zaidi kutuletea UPUMBAVU WA SHERIA ZA USAWA WA KIJINSIA ILI KUTUHALIBIA TAIFA
Dubai ni nchi!!?NILIWAAMBIA WATU HAPA JF KUWA DUBAI NI DANGURO LA WAISLAMU, MASHEKH, MAUSTADHI ,MAMUFTI NA MASWAHABA ..DANGURO LAO NI DUBAI ...MFUMO WA UCHUMI WA DUBAI UNATEGEMEA PESA CHAFU NA UTAKATISHAJI PESA KUTOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA NI UANITHI MKUBWA SANA KURUHUSU NCHI KAMA HIYO KUWA NA UWAKILISHI NA TANZANIA..ZIPO NCHI TANZANIA HATUTAKIWI KUWA NA MAUSIANO NAZO MOJAWAPO NI HIYO DUBAI ..NA UFARANSA NA USA ...mfano USA tunanini cha maana wanachl tunufaisha zaidi kutuletea UPUMBAVU WA SHERIA ZA USAWA WA KIJINSIA ILI KUTUHALIBIA TAIFA
Hilo swali waulize wazanzibar watakuambia kuwa zanzibar ni nchi sasa jiulize...wewe tambua tu kuwa dubai ni nchiDubai ni nchi!!?
Misaada mingi ina masharti ya kukwamishq nchi wanayo ipatia misaada..ndiyo sababu ya hao mabeberu kupinga viongozi wazalendo wa africa ..na akitokea kiongozi mzalendo lazima wamfanyie figisu na kumkatia misaada....siyo kila msaada ni msaada.tumia akili wacha kuwa mpumbavu kama ccmMkuu hao usa unaowaponda unaona Sheria ya usawa tu, Bado unapoke mamilioni ya misaada Kila mwaka na mengine meeengi Kwa hisani ya watu wa marekani.
Waulize wazanzibari Zanzibar ni nchi au la watakupa jibu ..wewe siyo jiniasi ndiyo maana unashindwa kutambua mchezo uliochwezwa na waarabu kuhusu dubaiNa ujanja wako pori wa kufoka online, umeshindwa kutambua kwamba Dubai sio nchi na hakuna nchi inaitwa Dubai
Wazbr wanahusika nini kwenye kutokujua kwako kwamba Dubai siyo nchi?Waulize wazanzibari Zanzibar ni nchi au la watakupa jibu ..wewe siyo jiniasi ndiyo maana unashindwa kutambua mchezo uliochwezwa na waarabu kuhusu dubai
Figusu la Tanganyika na Tanzania na Zanzibar lina fanana na dubai..tumia akiliWazbr wanahusika nini kwenye kutokujua kwako kwamba Dubai siyo nchi?
Elimika.Figusu la Tanganyika na Tanzania na Zanzibar lina fanana na dubai..tumia akili
Aibu naona mimi mkuuNa ujanja wako pori wa kufoka online, umeshindwa kutambua kwamba Dubai sio nchi na hakuna nchi inaitwa Dubai
Soma mada na comment yangu ya kwanza nilisema dubai ni danguro..sijui kama ulielewa nini ...usije kuniuliza danguro kivipi ? Maana ubongo wako ni kama mtoto mdogoElimika.
Usitumie akili za kiccm kwenye kujenga hoja zako
Usitumie akili za kiccm kwenye kujenga hoja zakoSoma mada na comment yangu ya kwanza nilisema dubai ni danguro..sijui kama ulielewa nini ...usije kuniuliza danguro kivipi ? Maana ubongo wako ni kama mtoto mdogo
Siku ukija kujua kuwa dubai ni nchi ila kuna ujanja wa waarabu kufanya ufisadi wa kutakatisha pesa ndiyo sababu ..utakuwa umeanza kupata akili ..nikama hapa Tanzania wapumbavu wanasema Zanzibar siyo nchi ila tayari zanzibar ni nchi kamili ndani ya kivuli cha TanzaniaUsitumie akili za kiccm kwenye kujenga hoja zako