Dubai ni kichaka cha damu na pesa chafu. Leo kila documentary zinatuhumu Dubai.

Mkuu kwani mpaka utumie lugha Kali? Wew ndie mpumbavu unaepokea misaada unawaita wafadhili halafu masharti ikianza kukusokota unawaita mabeberu mpuuzi wewe usie na adabu, viongozi wazalendo Africa ni wapi hao huyo mamaenu anae ya watu Kila siku?, huna ulijualo mpaka Sasa unajua kuwa Dubai ni nchi hovyo kabisa takataka wee ingia humo 👉🏿 🗑️
 
Lakini ukihitajika,wakitaka kukukamata wanakudaka tu na wana ku extredict kwa nchi inayo kuhitaji

Ova
 

Ficha Ujinga wako
 
MKuu Dubai (UAE) ni nchi huru ambayo ni imejikita kuwa center ya mizunguko mengi ya hela, wana free market, free port, free zones, tax free, sera rafiki za huduma za kibenki, pamoja na among biggest tourism destination na ni moja sehemu yenye Amani zaidi ulimwengini.
Kwahiyo watumiaji wa hizo fursa watakua wa sampuli tofauti, wengine watatumia kwa uzuri wengine kwa ubaya ila Dubai kama nchi kwa maan UAE haina ubaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…