Hakuna kitu kama hicho.seeious investors anapatikana wapi?...
hizi expo za kimataifa kwa taarifa yako, matajiri wenye mitaji ndio sehemu zao za kupata information na kutengeneza network worldwide.. Dubai expo ni moja ya expo kubwa sana duniani, nyingine ni Mining Indaba na Bauma ya Europe na America..
Baadae mje mtupe mrejesho wa matajiri waliokuja kuwekeza Tanzania kutokana na hiyo Dubai Expo!seeious investors anapatikana wapi?...
hizi expo za kimataifa kwa taarifa yako, matajiri wenye mitaji ndio sehemu zao za kupata information na kutengeneza network worldwide.. Dubai expo ni moja ya expo kubwa sana duniani, nyingine ni Mining Indaba na Bauma ya Europe na America..
Tena tunaomba epitie huko aende kuzindua ile filam ya royal toulsim aliyozunguka mwezi mzima eti anatangaza vivutio vya utalii, Sasahivi mawaziri na mabarozi wako likizo.Leo Jumamosi Februari 26, 2022 huko Dubai kwenye maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020 ni Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) kuonyesha fursa zake za uwekezaji, biashara, utalii n.k. ambapo Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni rasmi leo Jumamosi akiongoza Taifa letu kwenye maonyesho hayo makubwa kabisa kuieleza Dunia fursa za uwekezaji na biashara zilizopo nchini.
Nchi zote 192 zilizopo kwenye maonyesho hayo pamoja na Wafanyabiashara na Wawekezaji wote wakubwa watakuwa Wageni wa Tanzania na kuelezwa kwa undani kila fursa ya Uwekezaji na kufanya biashara iliyopo Tanzania na kuwavuta waje kuwekeza nchini. Ni siku kubwa kwa nchi yetu na yenye maana kubwa sana kwa uchumi na maendeleo ya Taifa letu.
Bwanku M Bwanku
bwanku55@gmail.com
View attachment 2131499
View attachment 2131500
weyey jamaa ku invest kwa wengine unapenda ila wakija kwako hutaki mweeee!No serious investor anapatikana kwenye matukio kama hayo.
Tutaishia kupata madalali tu.
Umesema sahihi kabisa. Nimewahi kufanya kwenye multinational companies 3, zote zina vigezo vyake wanavyovitazama. Hawaendi mahali popote kuwekeza eti kwa sababu Rais amesema.Serious investors wana njia zao za kupata taarifa ya wapi ni salama kuwekeza na sio kwenye Maonesho ya biashara!!
Huko kwenye EXPOS nchi huenda kutafuta masoko ya bidhaa zao na hata hivyo siku hizi marketing kubwa duniani hufanywa kwa mitandao, hivyo watu wetu wasitupotezee fedha zetu kutudanganya kuwa wanakwenda kutafuta wawekezaji kwenye maonesho!!
Mnapo wasingizia wapinzani wenu wa kisiasa kuwa ni magaidi mjue mnawafukuza watu kuja kuwekeza nchini, wawekezaji hawawekezi kwenye nchi isiyo kuwa stable!
Safi Kazi iendeleeLeo Jumamosi Februari 26, 2022 huko Dubai kwenye maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020 ni Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) kuonyesha fursa zake za uwekezaji, biashara, utalii n.k. ambapo Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni rasmi leo Jumamosi akiongoza Taifa letu kwenye maonyesho hayo makubwa kabisa kuieleza Dunia fursa za uwekezaji na biashara zilizopo nchini.
Nchi zote 192 zilizopo kwenye maonyesho hayo pamoja na Wafanyabiashara na Wawekezaji wote wakubwa watakuwa Wageni wa Tanzania na kuelezwa kwa undani kila fursa ya Uwekezaji na kufanya biashara iliyopo Tanzania na kuwavuta waje kuwekeza nchini. Ni siku kubwa kwa nchi yetu na yenye maana kubwa sana kwa uchumi na maendeleo ya Taifa letu.
Bwanku M Bwanku
bwanku55@gmail.com
View attachment 2131499
View attachment 2131500
Zingatia alichokwambia mwana hapo.. madalali hujaa kwenye maonyesho hayo.. hutak sawa.. hata wenyew wanasema..seeious investors anapatikana wapi?...
hizi expo za kimataifa kwa taarifa yako, matajiri wenye mitaji ndio sehemu zao za kupata information na kutengeneza network worldwide.. Dubai expo ni moja ya expo kubwa sana duniani, nyingine ni Mining Indaba na Bauma ya Europe na America..
Na tozo mpya.. hahahahWakirudi Kutoka SHOPPING yao huko Dubai, utawasikia jinsi wanavyoongopa kuwa wamepata wawekezaji wengi wanakuja na pia wamepata vijisenti!
Tumefungua nchi ambayo milango yake ilifungwa. Ali Hassan Mwinyi alijaribu kuifungua lakini alishindwa kwa upinzani mkubwa wa wafuasi wa Bwana yule mjamaa mkubwa Tanzania.Tz imepoteza nafasi hii ambayo ushirikiwa wake ni BURE.
Nadhani kuna baadhi itawashangaza. Ni hizi ushiriki wake ni BURE. Itakugharimu tiketi chakula na malazi ambapo zipo hotel gharama zake ni kama gharama za hotel za kawaida dar.
Taasisi zilizopewa mamlaka ya kusimamia sekta hii wametuangusha sana sana. Na walipaswa kuwajibika. Nazifahamu lakini sipendi kuzitaja. The Dar Bulls.
Binafsi nimepata taarifa siku 15 zilizopita. Lkn baada ya kuanza kufatilia viza nikaambiwa nilipaswa kuaply siku 14 kabla. Hivyo Jana yake ndio ilikuwa deadline.
Maonyesho haya huchukua miezi 6. Na kila wiki huwa ni siku ya nchi fulani.
Maonyesho haya hufanyika kila baada ya miaka 5