Dubai: Rais Samia ahudhuria Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) ya maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020

Dubai: Rais Samia ahudhuria Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) ya maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020

seeious investors anapatikana wapi?...

hizi expo za kimataifa kwa taarifa yako, matajiri wenye mitaji ndio sehemu zao za kupata information na kutengeneza network worldwide.. Dubai expo ni moja ya expo kubwa sana duniani, nyingine ni Mining Indaba na Bauma ya Europe na America..
Hakuna kitu kama hicho.
 
Baadae mje mtupe mrejesho wa matajiri waliokuja kuwekeza Tanzania kutokana na hiyo Dubai Expo!
 
Leo Jumamosi Februari 26, 2022 huko Dubai kwenye maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020 ni Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) kuonyesha fursa zake za uwekezaji, biashara, utalii n.k. ambapo Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni rasmi leo Jumamosi akiongoza Taifa letu kwenye maonyesho hayo makubwa kabisa kuieleza Dunia fursa za uwekezaji na biashara zilizopo nchini.

Nchi zote 192 zilizopo kwenye maonyesho hayo pamoja na Wafanyabiashara na Wawekezaji wote wakubwa watakuwa Wageni wa Tanzania na kuelezwa kwa undani kila fursa ya Uwekezaji na kufanya biashara iliyopo Tanzania na kuwavuta waje kuwekeza nchini. Ni siku kubwa kwa nchi yetu na yenye maana kubwa sana kwa uchumi na maendeleo ya Taifa letu.

Bwanku M Bwanku
bwanku55@gmail.com

View attachment 2131499

View attachment 2131500
Tena tunaomba epitie huko aende kuzindua ile filam ya royal toulsim aliyozunguka mwezi mzima eti anatangaza vivutio vya utalii, Sasahivi mawaziri na mabarozi wako likizo.
 
Wakirudi Kutoka SHOPPING yao huko Dubai, utawasikia jinsi wanavyoongopa kuwa wamepata wawekezaji wengi wanakuja na pia wamepata vijisenti!
 
No serious investor anapatikana kwenye matukio kama hayo.

Tutaishia kupata madalali tu.
weyey jamaa ku invest kwa wengine unapenda ila wakija kwako hutaki mweeee!
 
Serious investors wana njia zao za kupata taarifa ya wapi ni salama kuwekeza na sio kwenye Maonesho ya biashara!!
Huko kwenye EXPOS nchi huenda kutafuta masoko ya bidhaa zao na hata hivyo siku hizi marketing kubwa duniani hufanywa kwa mitandao, hivyo watu wetu wasitupotezee fedha zetu kutudanganya kuwa wanakwenda kutafuta wawekezaji kwenye maonesho!!
Mnapo wasingizia wapinzani wenu wa kisiasa kuwa ni magaidi mjue mnawafukuza watu kuja kuwekeza nchini, wawekezaji hawawekezi kwenye nchi isiyo kuwa stable!
Umesema sahihi kabisa. Nimewahi kufanya kwenye multinational companies 3, zote zina vigezo vyake wanavyovitazama. Hawaendi mahali popote kuwekeza eti kwa sababu Rais amesema.
 
Leo Jumamosi Februari 26, 2022 huko Dubai kwenye maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020 ni Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) kuonyesha fursa zake za uwekezaji, biashara, utalii n.k. ambapo Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni rasmi leo Jumamosi akiongoza Taifa letu kwenye maonyesho hayo makubwa kabisa kuieleza Dunia fursa za uwekezaji na biashara zilizopo nchini.

Nchi zote 192 zilizopo kwenye maonyesho hayo pamoja na Wafanyabiashara na Wawekezaji wote wakubwa watakuwa Wageni wa Tanzania na kuelezwa kwa undani kila fursa ya Uwekezaji na kufanya biashara iliyopo Tanzania na kuwavuta waje kuwekeza nchini. Ni siku kubwa kwa nchi yetu na yenye maana kubwa sana kwa uchumi na maendeleo ya Taifa letu.

Bwanku M Bwanku
bwanku55@gmail.com

View attachment 2131499

View attachment 2131500
Safi Kazi iendelee
 
seeious investors anapatikana wapi?...

hizi expo za kimataifa kwa taarifa yako, matajiri wenye mitaji ndio sehemu zao za kupata information na kutengeneza network worldwide.. Dubai expo ni moja ya expo kubwa sana duniani, nyingine ni Mining Indaba na Bauma ya Europe na America..
Zingatia alichokwambia mwana hapo.. madalali hujaa kwenye maonyesho hayo.. hutak sawa.. hata wenyew wanasema..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Bwanku M Bwanku.

Leo Jumapili kwenye Gazeti la MZALENDO Ukurasa wa 4 nimechambua hatua ya nchi yetu kushiriki kwenye maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020 ambapo Jana Jumamosi Februari 26, 2022 ilikuwa Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) kwenye maonyesho hayo ambapo Rais Samia alikuwa Mgeni rasmi na kuieleza Dunia kupitia maonyesho hayo fursa zote za Biashara na Uwekezaji zilizopo Tanzania.

Maonyesho hayo ya Dubai Expo ni makubwa sana Duniani yakishirikisha nchi 192 pamoja na Wafanyabiashara na Wawekezaji wakubwa kutoka kila pembe ya ulimwengu. Hatua yetu kushiriki maonyesho hayo kama Mshiriki rasmi, kuwa na Banda lake na Rais Samia kushiriki kuongoza Taifa letu kueleza kila fursa iliyopo nchini ni hatua kubwa sana ya kushusha Uwekezaji mkubwa sana nchini kutoka Nje. Pata NAKALA sasa ya Gazeti hili la MZALENDO usome Makala yangu hii uone ukubwa wa maonyesho hayo na hatua ya Nchi yetu kushiriki itakavyo-boost Uchumi na Maendeleo yetu.

Bwanku M Bwanku
bwanku55@gmail.com

IMG-20220227-WA0003.jpg

IMG-20220227-WA0004.jpg

IMG-20220227-WA0010.jpg
 
Sure, mtu mwenye akili hawezi kuacha maonyesho haya yenye nchi zaidi ya 192 na Wafanyabiashara na Wawekezaji wote wakubwa. Heko Rais Samia Suluhu Hassan, endelea kuifungua nchi yetu kiuchumi, Kidiplomasia na uwekezaji. Vijana tuko nyuma yako maana haya MATUNDA ya ajira yanakuja kwetu. Heko SSH.
 
Kitabu cha Marketing high technology cha Professor William L. kitatufaa zaidi naona kama kwenye marketing bado tupo analogue...
 
Waziri Mwigulu juzi alikuwa Abuu Dhabi, ziara za Rais zinajibu
 
Tz imepoteza nafasi hii ambayo ushirikiwa wake ni BURE.

Nadhani kuna baadhi itawashangaza. Ni hizi ushiriki wake ni BURE. Itakugharimu tiketi chakula na malazi ambapo zipo hotel gharama zake ni kama gharama za hotel za kawaida dar.

Taasisi zilizopewa mamlaka ya kusimamia sekta hii wametuangusha sana sana. Na walipaswa kuwajibika. Nazifahamu lakini sipendi kuzitaja. The Dar Bulls.

Binafsi nimepata taarifa siku 15 zilizopita. Lkn baada ya kuanza kufatilia viza nikaambiwa nilipaswa kuaply siku 14 kabla. Hivyo Jana yake ndio ilikuwa deadline.

Maonyesho haya huchukua miezi 6. Na kila wiki huwa ni siku ya nchi fulani.
Maonyesho haya hufanyika kila baada ya miaka 5
Tumefungua nchi ambayo milango yake ilifungwa. Ali Hassan Mwinyi alijaribu kuifungua lakini alishindwa kwa upinzani mkubwa wa wafuasi wa Bwana yule mjamaa mkubwa Tanzania.

Hivyo, jitihada zinafanyika lakini kazi ipo, watanzania hawapo tayari kuona nchi inafunguka. Hata baadhi ya mawaziri ni taabu kweli kweli. Hivyo usijali jaribu baada ya miaka 5, maana mfunguaji atakuwa bado ni pilot wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom