Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
umeshindwa kuuliza ccm wamekufanyia nini we na ukoo wako kwanzaKuna hii hali ya kuona akili zeti haziko sawa,na hata mwandishi uneandika hayo pia;
Naomba kujua,wewe kama wewe umefanya nini cha maana kwa kiwango cha eneo lako unaloishi?
Maana imekuwa hali ya kawaida mtu kusema wabongo hatuna uwezo,huku yeye akiwa anaamini mafaniko ni nyumba na gari tu;
Nyie msikilizeni Makonda tu.Yani sijui tuna kwama wapi yani ukikaona kandege kenyewe utazani kakupeleka watalii mbugani.yani wenzetu wasio na kitu kwenye ardhi wanajaribu kisicho kuwa kitu kuwa kitu.
bado na kazia ma ubongo yetu yana tumia masanturi
View attachment 2903862
CCM tena!umeshindwa kuuliza ccm wamekufanyia nini we na ukoo wako kwanza
UNAMLAUMU HUYO KTK MAZINGIRA HAYA MAGUMUKuna hii hali ya kuona akili zeti haziko sawa,na hata mwandishi uneandika hayo pia;