Dube aaga rasmi Azam FC

Dube aaga rasmi Azam FC

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Mshambuliaji Prince Dube raia wa Zimbabwe ametangaza kuachana na Azam FC baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne.

Hivi karibuni zilitoka taarifa za mshambuliaji hiyo kuomba kuondoka, Azam FC walithibitisha taarifa hizo na kuweka wazi kuwa hawamzuii ila taratibu zifuatwe.

Mchezaji huyu kwenye mechi ya jana dhidi ya Coastal Union [FT 1-1] hakuwa sehemu ya kikosi na leo asubuhi ametangaza kuondoka Klabuni hapo.

20240307_095024.jpg

===
Pia soma:

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Mshambuliaji Prince Dube raia wa Zimbabwe ametangaza kuachana na Azam FC baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne.

Hivi karibuni zilitoka taarifa za mshambuliaji hiyo kuomba kuondoka, Azam FC walithibitisha taarifa hizo na kuweka wazi kuwa hawamzuii ilataratibu zifuatwe.

Mchezaji huyu kwenye mechi ya jana dhidi ya Coastal Union [FT 1-1] hakuwa sehemu ya kikosi na leo asubuhi ametangaza kuondoka Klabuni hapo.

View attachment 2926844

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app

Hana Signature yake? Au kaandikiwa?
 
Back
Top Bottom