Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kwako signature mpaka ukorogekoroge?Hana Signature yake? Au kaandikiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwako signature mpaka ukorogekoroge?Hana Signature yake? Au kaandikiwa?
Hongera Dube umefanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi, wakati mchezaji akiwa kwenye peek ya career yake ndio muda mzuri wa kuwa na ubavu wa kuamua kutoka eneo moja kwenda lingine lenye maslahi zaidi maana uhitaji wake unakuwa mkubwa, kiwango kikishuka uwezo huo unakuwa haupo tena.Mshambuliaji Prince Dube raia wa Zimbabwe ametangaza kuachana na Azam FC baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne.
Hivi karibuni zilitoka taarifa za mshambuliaji hiyo kuomba kuondoka, Azam FC walithibitisha taarifa hizo na kuweka wazi kuwa hawamzuii ilataratibu zifuatwe.
Mchezaji huyu kwenye mechi ya jana dhidi ya Coastal Union [FT 1-1] hakuwa sehemu ya kikosi na leo asubuhi ametangaza kuondoka Klabuni hapo.
View attachment 2926844
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Daah! Hiyo ndo ile picha yako kwenye avatar? Salaaleeh!😋😋
Ile iliyokuwepo mwanzo mbona jamaa yako alisema ni wewe? Halafu hii ya sasa zimefanana sana na ile nyingine. Au unaogoa jamaa ata mind?
İle ya mwanzo ambayo ulitoa si ilikuwa yako lakini?
Ni yako bhana mwl jikubali.
Hahaha
Akienda Yanga .....wanaitolea wapi hiyo amani....Sasa Simba watakuwa na amani maana kila mechi mwamba lazima awasumbue.
Yanga hii ambayo mchezaji wao ghali zaidi ni azizi ki aliesajiliwa kwa milion 400Tatizo anaenda Yanga, bado tabu ipo palepale.
Jikaze kijanaHahaha
Awapi sketi yako ya maroni sijui damu la mzee ukivaa inaonyesha ukweli utukufu na ufundi wa Muumba juu ako alivokutengeneza [emoji2211][emoji2211][emoji2211]