kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Wana Simba sio kama hawapendi Dube aondoke Azam, wanatamani hata leo aondoke ila inshu ni kwamba akiondoka Azam anaenda wapi 🤔..!!!Sasa Simba watakua na amani maana kila mechi mwamba lazima awasumbue
Mshambuliaji Prince Dube raia wa Zimbabwe ametangaza kuachana na Azam FC baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne.
Hivi karibuni zilitoka taarifa za mshambuliaji hiyo kuomba kuondoka, Azam FC walithibitisha taarifa hizo na kuweka wazi kuwa hawamzuii ilataratibu zifuatwe.
Mchezaji huyu kwenye mechi ya jana dhidi ya Coastal Union [FT 1-1] hakuwa sehemu ya kikosi na leo asubuhi ametangaza kuondoka Klabuni hapo.
View attachment 2926844
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Tatizo anaenda wapi...unaeza kuta shida ipo pale pale kulingana tu na pale anapoendaSasa Simba watakua na amani maana kila mechi mwamba lazima awasumbue
Amani awatoipata kinachofanyika ni kuamisha maumivu kuyatoa Azam kuyapeleka jangwani🤣🤣Sasa Simba watakuwa na amani maana kila mechi mwamba lazima awasumbue.
Tatizo anaenda Yanga, bado tabu ipo palepale.Sasa Simba watakuwa na amani maana kila mechi mwamba lazima awasumbue.
Hauoni signature hapo?Hana Signature yake? Au kaandikiwa?
Ile pale kaandika 'prince Dube' mwambie aiangalie tena au alitaka aandike makolokocho?Hauoni signature hapo?
Teh teh teh, hii ndio ukichimama nchale na ukikaa nchale.Wana Simba sio kama hawapendi Dube aondoke Azam, wanatamani hata leo aondoke ila inshu ni kwamba akiondoka Azam anaenda wapi 🤔..!!!
Anakoelekea ndiyo Simba sc watamkomaSasa Simba watakuwa na amani maana kila mechi mwamba lazima awasumbue.