watu walicheza chini ya kiwango dhidi ya yanga wakala mkono na huwasemi....whyyyyy!!!!Huyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze chini ya kiwango.
Kila akicheza nao alicheza kivivu na hakuwa na shauku ya ushindi hata kidogo.
Mchezaji wa namna hii hana maana yoyote na sababu anazozitoa sasa ni uhuni tu.
Maana ni punde tu alisaini mkataba na Azam.Je hayo ameyajua leo?
Mechi ya kwanza ya NabiHivi ashawahi wahi kuwafunga Yanga hata goli moja kweli?
Mbona huwasemi wachezaji wenu walivyokula hela za yanga wakacheza chini ya kiwango na mkapigwa 5GHuyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze chini ya kiwango.
Kila akicheza nao alicheza kivivu na hakuwa na shauku ya ushindi hata kidogo.
Mchezaji wa namna hii hana maana yoyote na sababu anazozitoa sasa ni uhuni tu.
Maana ni punde tu alisaini mkataba na Azam. Je hayo ameyajua leo?
Chama alicheza chini ya kiwango dhidi ya Yanga hadi kufanyiwa subHuyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze chini ya kiwango.
Kila akicheza nao alicheza kivivu na hakuwa na shauku ya ushindi hata kidogo.
Mchezaji wa namna hii hana maana yoyote na sababu anazozitoa sasa ni uhuni tu.
Maana ni punde tu alisaini mkataba na Azam. Je hayo ameyajua leo?
Hata mechi ya Nabi ya kwanza anaingia Yanga alikaribushwa na DubeWENGI WENU MNAANDIKA TU LAKINI HAMJUI MNACHOKIANDIKA.
NENDA KATAZAME MECHI YA YANGA VS AZAM KIPA SHIKALO
MWAMBA ALIPIGA NJE YA 18 SHIKALO ALIRUKA KAMA NYANI LAKINI HAKUONA KITU.
POINT TATU ZILIENDA KWA AZAM KWA GOLI LILILOFUNGWA NA DUBE.
TOKA SIKU HIYO NILIMUOGOPA DUBE ANAPOKUWA UWANJANI.
KIUFUPI DUBE NI MCHEZAJI HATARI SANA KULIKO MNAVYOFIKIRI.
mtasema mengiHuyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze chini ya kiwango.
Kila akicheza nao alicheza kivivu na hakuwa na shauku ya ushindi hata kidogo.
Mchezaji wa namna hii hana maana yoyote na sababu anazozitoa sasa ni uhuni tu.
Maana ni punde tu alisaini mkataba na Azam. Je hayo ameyajua leo?
🐸🐸 Lipeni $300k kisha chukueni mtu wenu.WENGI WENU MNAANDIKA TU LAKINI HAMJUI MNACHOKIANDIKA.
NENDA KATAZAME MECHI YA YANGA VS AZAM KIPA SHIKALO
MWAMBA ALIPIGA NJE YA 18 SHIKALO ALIRUKA KAMA NYANI LAKINI HAKUONA KITU.
POINT TATU ZILIENDA KWA AZAM KWA GOLI LILILOFUNGWA NA DUBE.
TOKA SIKU HIYO NILIMUOGOPA DUBE ANAPOKUWA UWANJANI.
KIUFUPI DUBE NI MCHEZAJI HATARI SANA KULIKO MNAVYOFIKIRI.
Huyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze chini ya kiwango.
Kila akicheza nao alicheza kivivu na hakuwa na shauku ya ushindi hata kidogo.
Mchezaji wa namna hii hana maana yoyote na sababu anazozitoa sasa ni uhuni tu.
Maana ni punde tu alisaini mkataba na Azam. Je hayo ameyajua leo?
Ndio hiyo match aliyodaka shikalo na tangu siku hiyo yanga hajawahi fungwa tena na AzamHata mechi ya Nabi ya kwanza anaingia Yanga alikaribushwa na Dube
Oooh kumbe ndio ..alipiga goli kali sana ..kwahiyo hata yy ana mahaba na timu ya kariakoo kama mabosi zakeNdio hiyo match aliyodaka shikalo na tangu siku hiyo yanga hajawahi fungwa tena na Azam
Pia alifunga match ya mwisho Kwa penalt iliyoisha Azam 2 yanga 3(Aziz [emoji2785])