Dube ni mnafiki, alicheza chini ya kiwango kila akicheza na Yanga

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Huyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze chini ya kiwango.

Kila akicheza nao alicheza kivivu na hakuwa na shauku ya ushindi hata kidogo.
Mchezaji wa namna hii hana maana yoyote na sababu anazozitoa sasa ni uhuni tu.
Maana ni punde tu alisaini mkataba na Azam. Je hayo ameyajua leo?
 
Hata mechi za Simba alipaswa awe anaondoka na hat trick. Mechi ya mwisho kule Mwanza, kawahurumia sana Simba alikuwa anapiga goli tatu kipindi cha kwanza tu. Hivyo inawezekana alipewa maelekezo awahurumie Simba.
 
Huyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze chini ya kiwango.
Kila akicheza nao alicheza kivivu na hakuwa na shauku ya ushindi hata kidogo.
Mchezaji wa namna hii hana maana yoyote na sababu anazozitoa sasa ni uhuni tu.
Maana ni punde tu alisaini mkataba na Azam.Je hayo ameyajua leo?
watu walicheza chini ya kiwango dhidi ya yanga wakala mkono na huwasemi....whyyyyy!!!!
 
Huyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze chini ya kiwango.

Kila akicheza nao alicheza kivivu na hakuwa na shauku ya ushindi hata kidogo.
Mchezaji wa namna hii hana maana yoyote na sababu anazozitoa sasa ni uhuni tu.
Maana ni punde tu alisaini mkataba na Azam. Je hayo ameyajua leo?
Mbona huwasemi wachezaji wenu walivyokula hela za yanga wakacheza chini ya kiwango na mkapigwa 5G
 
Huyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze chini ya kiwango.

Kila akicheza nao alicheza kivivu na hakuwa na shauku ya ushindi hata kidogo.
Mchezaji wa namna hii hana maana yoyote na sababu anazozitoa sasa ni uhuni tu.
Maana ni punde tu alisaini mkataba na Azam. Je hayo ameyajua leo?
Chama alicheza chini ya kiwango dhidi ya Yanga hadi kufanyiwa sub
 
WENGI WENU MNAANDIKA TU LAKINI HAMJUI MNACHOKIANDIKA.

NENDA KATAZAME MECHI YA YANGA VS AZAM KIPA SHIKALO

MWAMBA ALIPIGA NJE YA 18 SHIKALO ALIRUKA KAMA NYANI LAKINI HAKUONA KITU.

POINT TATU ZILIENDA KWA AZAM KWA GOLI LILILOFUNGWA NA DUBE.

TOKA SIKU HIYO NILIMUOGOPA DUBE ANAPOKUWA UWANJANI.

KIUFUPI DUBE NI MCHEZAJI HATARI SANA KULIKO MNAVYOFIKIRI.
 
Hata mechi ya Nabi ya kwanza anaingia Yanga alikaribushwa na Dube
 
Huyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze chini ya kiwango.

Kila akicheza nao alicheza kivivu na hakuwa na shauku ya ushindi hata kidogo.
Mchezaji wa namna hii hana maana yoyote na sababu anazozitoa sasa ni uhuni tu.
Maana ni punde tu alisaini mkataba na Azam. Je hayo ameyajua leo?
mtasema mengi
 
🐸🐸
WENGI WENU MNAANDIKA TU LAKINI HAMJUI MNACHOKIANDIKA.

NENDA KATAZAME MECHI YA YANGA VS AZAM KIPA SHIKALO

MWAMBA ALIPIGA NJE YA 18 SHIKALO ALIRUKA KAMA NYANI LAKINI HAKUONA KITU.

POINT TATU ZILIENDA KWA AZAM KWA GOLI LILILOFUNGWA NA DUBE.

TOKA SIKU HIYO NILIMUOGOPA DUBE ANAPOKUWA UWANJANI.

KIUFUPI DUBE NI MCHEZAJI HATARI SANA KULIKO MNAVYOFIKIRI.
🐸🐸 Lipeni $300k kisha chukueni mtu wenu.
 
Huyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze chini ya kiwango.

Kila akicheza nao alicheza kivivu na hakuwa na shauku ya ushindi hata kidogo.
Mchezaji wa namna hii hana maana yoyote na sababu anazozitoa sasa ni uhuni tu.
Maana ni punde tu alisaini mkataba na Azam. Je hayo ameyajua leo?

Acha makasiriko bata wahed
 
Ndio hiyo match aliyodaka shikalo na tangu siku hiyo yanga hajawahi fungwa tena na Azam

Pia alifunga match ya mwisho Kwa penalt iliyoisha Azam 2 yanga 3(Aziz [emoji2785])
Oooh kumbe ndio ..alipiga goli kali sana ..kwahiyo hata yy ana mahaba na timu ya kariakoo kama mabosi zake
 
Back
Top Bottom