Dude limegoma kulala!

Kazi ipo ngoja tuone itavyokua
 
Dude hili la kimataifa
 
Vipi kwa sasa mikataba yao wamesha saini baada ya makubaliano yao kuungwa na Bunge?
 
Usichoamini hizi porojo zipo humu mitandaoni tuu, huko field watu na CCM yao hauwaambii kitu.

Kosa la kiufundi lilifanyika 2015 pale wananchi walikuwa tayari ila Babu Balozi na Le professeri wakaunawa mpira kwenye penalty box kwa makusudi tokea hapo wananchi nikiwemo mimi hatuwaelewi wapinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…