Dude limegoma kulala!

Dude limegoma kulala!

Lilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap, wananchi nao wakalipokea chap chap. Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia saini!

Kila likitaka kulazwa halilali, kama ni mboga basi hii imechacha! Inamuumbua mpishi na inamsumbua mlaji ambae kagoma na sio kugoma tu bali kashika na bango.

Dude hili limeibua mengi hata wale waliokuwa kimya wamenena, tena wanatapika nyongo haswa. Kuonyesha kuwa dude hili ni imara limeanza hadi kuzingua misimamo ya kiimani!

Majukwaani hawalali, dude hili limewapa baadhi yetu uwezo wa kupiga msamba kama sio sogodati. Mbaya mbovu, dude limegonga mlango mpaka kwa akina Tanzania intelligence security huduma, wakereketwa wanahoji "Mlikuwa wapi wakati dude linaingia?"

Hao jamaa nao huwa hawaju kitu, kawaida yao huwa ni kukaa kimya ila vitendo ndio vitajibu. Wao hawapendi vipaza sauti lakini dude ndio hilo limewatazama wao kwasasa.

Ilipofikia sio wakumtafuta mchawi ni nani, bali ni lazima apatikane komando kipensi wakulituliza hili dude. Waswahili walisema usipoziba ufa utajenga ukuta. Hili dude ni aidha litaenda na watu au mtu au jitu.

Mipango bila pesa ni kelele!
Kazi ipo ngoja tuone itavyokua
 
Dude hili la kimataifa
 
Vipi kwa sasa mikataba yao wamesha saini baada ya makubaliano yao kuungwa na Bunge?
 
Usichoamini hizi porojo zipo humu mitandaoni tuu, huko field watu na CCM yao hauwaambii kitu.

Kosa la kiufundi lilifanyika 2015 pale wananchi walikuwa tayari ila Babu Balozi na Le professeri wakaunawa mpira kwenye penalty box kwa makusudi tokea hapo wananchi nikiwemo mimi hatuwaelewi wapinzani.
 
Back
Top Bottom