Dude limegoma kulala!

Kama waliweza kukabidhi madini karibu yote (hii ni ardhi), watashindwaje kwenye bandari...

Kabisa ungetegemea labda baada ya kuuza, Loliondo, Ngorongoro, gas, labda hata tungejitegemea kwenye bajeti.
 
2025 halitambakiza Mtu. Watanzania wameamka hawadanganyiki tena.
 
Kumeshakucha ni mapema kabisa kazi ndogo imebakia kuudondosha mbuyu uliooza tena, german, UK na US wanalicheki wanalitamani na watatia nguvu mwanzo mwisho
USA huyu huyu ama mwingine? Hao German wenyewe tokea atoke Angella hawana time na cdm sijui kama CDU wanaushawishi ule, si unajua Putin kawavurugia vibaya sana wanawaza kumnasua Ukraine huko, wewe pambana na cdm yako ila hamta toboa hilo hata wewe unalijua.

#RIP ASHA BAKARI, BUNGE LA KATIBA ALIWAPA UJUMBE MURUA.
 
Hili dude ni kama Israili malaika mtoa roho, lazima liondoke na roho ya mtu.
 
Hata kipindi kile cha Jiwe fununu zilianza hivi hivi ...mkapuuza na wengine wakasema....yuko salama amesema endeleeni na kazi...

Siku mbili baadaye...[emoji24][emoji24]

Lisemwalo lipo...
 
Hivi unajiuliza inakuwaje mtu anasaini mkataba wenye vipengele kama hivi?
Ni kukosa uzalendo?...makusudi?...upeo mdogo?..kitu ambacho si kweli....RUSHWA?...maana mtu umeshakula hela ya mtu sasa huna pa kutokea...
Sitaki kuamini kwamba hao unaosema suala hili lipo kwao hawakuhusishwa toka mwanzo...
How?...
Hili suala ni very sensitive...watu wamuogope Mungu huu ni unyama kwa future generation.
Ila Africa kuna shida..hebu angalia hapo kwa jirani Kenya suala la Fake pastor Mackenzie na Shakahola yake imewezekanaje watu zaidi ya 400 kufa na kuzikwa na nobody noticed?..security organs zipo..wananchi wapo wanaangalia tu...hata kupiga kelele tu hamna...Nahisi shida ni kubwa kuliko tunavyodhania
Anyway muda utasema.
 
Tumepewa siku tatu
 
Mama keisha ona kuwa hili dude haliwezi ameanza kuhamishia familia yake Uarabuni!!
 
Acha kuhamisha magoli. Dude limechafua hali ya hewa. Ukiwa na akili timamu ni lazima Dude likutishe.

Bado siku 2
 
Kweli dude balaa maana limesababisha ziara za wana dude nchi nzima.
Mara Singida mara Tabora, Mwanza n.k

Ngoja tusubiri mwisho wake
 
Hili limeshapita na kama kuna makosa watrekebisha mbele.Kwa serikali na Chama chake kukubali kubadilisha jambo lolote katika huu mktaba hawawezi kwani wanaona kama watawapa credit wapinzani.Heri tupigwe faini ya matrilioni lakini si kuwapa sifa hawa wapinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…