Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama waliweza kukabidhi madini karibu yote (hii ni ardhi), watashindwaje kwenye bandari...
2025 halitambakiza Mtu. Watanzania wameamka hawadanganyiki tena.Lilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap, wananchi nao wakalipokea chap chap. Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia saini!
Kila likitaka kulazwa halilali, kama ni mboga basi hii imechacha! Inamuumbua mpishi na inamsumbua mlaji ambae kagoma na sio kugoma tu bali kashika na bango.
Dude hili limeibua mengi hata wale waliokuwa kimya wamenena, tena wanatapika nyongo haswa. Kuonyesha kuwa dude hili ni imara limeanza hadi kuzingua misimamo ya kiimani!
Majukwaani hawalali, dude hili limewapa baadhi yetu uwezo wa kupiga msamba kama sio sogodati. Mbaya mbovu, dude limegonga mlango mpaka kwa akina Tanzania intelligence security huduma, wakereketwa wanahoji "Mlikuwa wapi wakati dude linaingia?"
Hao jamaa nao huwa hawaju kitu, kawaida yao huwa ni kukaa kimya ila vitendo ndio vitajibu. Wao hawapendi vipaza sauti lakini dude ndio hilo limewatazama wao kwasasa.
Ilipofikia sio wakumtafuta mchawi ni nani, bali ni lazima apatikane komando kipensi wakulituliza hili dude. Waswahili walisema usipoziba ufa utajenga ukuta. Hili dude ni aidha litaenda na watu au mtu au jitu.
Mipango bila pesa ni kelele!
USA huyu huyu ama mwingine? Hao German wenyewe tokea atoke Angella hawana time na cdm sijui kama CDU wanaushawishi ule, si unajua Putin kawavurugia vibaya sana wanawaza kumnasua Ukraine huko, wewe pambana na cdm yako ila hamta toboa hilo hata wewe unalijua.Kumeshakucha ni mapema kabisa kazi ndogo imebakia kuudondosha mbuyu uliooza tena, german, UK na US wanalicheki wanalitamani na watatia nguvu mwanzo mwisho
Hili dude ni zimwi, limeibua mizimu yote ya mababu. Wajomba wamekuja juu, mahari kala nani
Hili dude ni kama Israili malaika mtoa roho, lazima liondoke na roho ya mtu.Lilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap, wananchi nao wakalipokea chap chap. Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia saini!
Kila likitaka kulazwa halilali, kama ni mboga basi hii imechacha! Inamuumbua mpishi na inamsumbua mlaji ambae kagoma na sio kugoma tu bali kashika na bango.
Dude hili limeibua mengi hata wale waliokuwa kimya wamenena, tena wanatapika nyongo haswa. Kuonyesha kuwa dude hili ni imara limeanza hadi kuzingua misimamo ya kiimani!
Majukwaani hawalali, dude hili limewapa baadhi yetu uwezo wa kupiga msamba kama sio sogodati. Mbaya mbovu, dude limegonga mlango mpaka kwa akina Tanzania intelligence security huduma, wakereketwa wanahoji "Mlikuwa wapi wakati dude linaingia?"
Hao jamaa nao huwa hawaju kitu, kawaida yao huwa ni kukaa kimya ila vitendo ndio vitajibu. Wao hawapendi vipaza sauti lakini dude ndio hilo limewatazama wao kwasasa.
Ilipofikia sio wakumtafuta mchawi ni nani, bali ni lazima apatikane komando kipensi wakulituliza hili dude. Waswahili walisema usipoziba ufa utajenga ukuta. Hili dude ni aidha litaenda na watu au mtu au jitu.
Mipango bila pesa ni kelele!
Hata kipindi kile cha Jiwe fununu zilianza hivi hivi ...mkapuuza na wengine wakasema....yuko salama amesema endeleeni na kazi...Usichoamini hizi porojo zipo humu mitandaoni tuu, huko field watu na CCM yao hauwaambii kitu.
Kosa la kiufundi lilifanyika 2015 pale wananchi walikuwa tayari ila Babu Balozi na Le professeri wakaunawa mpira kwenye penalty box kwa makusudi tokea hapo wananchi nikiwemo mimi hatuwaelewi wapinzani.
Unamkabidhi mtu baki toka hukoo usikokujua vizuri mageti ya nyumba yako?, mmm! what a sad storyIla sisi watanzania sijui nani katuloga, yani una mkabidhi mtu bandari yako?
Tumepewa siku tatuLilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap, wananchi nao wakalipokea chap chap. Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia saini!
Kila likitaka kulazwa halilali, kama ni mboga basi hii imechacha! Inamuumbua mpishi na inamsumbua mlaji ambae kagoma na sio kugoma tu bali kashika na bango.
Dude hili limeibua mengi hata wale waliokuwa kimya wamenena, tena wanatapika nyongo haswa. Kuonyesha kuwa dude hili ni imara limeanza hadi kuzingua misimamo ya kiimani!
Majukwaani hawalali, dude hili limewapa baadhi yetu uwezo wa kupiga msamba kama sio sogodati. Mbaya mbovu, dude limegonga mlango mpaka kwa akina Tanzania intelligence security huduma, wakereketwa wanahoji "Mlikuwa wapi wakati dude linaingia?"
Hao jamaa nao huwa hawaju kitu, kawaida yao huwa ni kukaa kimya ila vitendo ndio vitajibu. Wao hawapendi vipaza sauti lakini dude ndio hilo limewatazama wao kwasasa.
Ilipofikia sio wakumtafuta mchawi ni nani, bali ni lazima apatikane komando kipensi wakulituliza hili dude. Waswahili walisema usipoziba ufa utajenga ukuta. Hili dude ni aidha litaenda na watu au mtu au jitu.
Mipango bila pesa ni kelele!
Mama keisha ona kuwa hili dude haliwezi ameanza kuhamishia familia yake Uarabuni!!Lilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap, wananchi nao wakalipokea chap chap. Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia saini!
Kila likitaka kulazwa halilali, kama ni mboga basi hii imechacha! Inamuumbua mpishi na inamsumbua mlaji ambae kagoma na sio kugoma tu bali kashika na bango.
Dude hili limeibua mengi hata wale waliokuwa kimya wamenena, tena wanatapika nyongo haswa. Kuonyesha kuwa dude hili ni imara limeanza hadi kuzingua misimamo ya kiimani!
Majukwaani hawalali, dude hili limewapa baadhi yetu uwezo wa kupiga msamba kama sio sogodati. Mbaya mbovu, dude limegonga mlango mpaka kwa akina Tanzania intelligence security huduma, wakereketwa wanahoji "Mlikuwa wapi wakati dude linaingia?"
Hao jamaa nao huwa hawaju kitu, kawaida yao huwa ni kukaa kimya ila vitendo ndio vitajibu. Wao hawapendi vipaza sauti lakini dude ndio hilo limewatazama wao kwasasa.
Ilipofikia sio wakumtafuta mchawi ni nani, bali ni lazima apatikane komando kipensi wakulituliza hili dude. Waswahili walisema usipoziba ufa utajenga ukuta. Hili dude ni aidha litaenda na watu au mtu au jitu.
Mipango bila pesa ni kelele!
Acha kuhamisha magoli. Dude limechafua hali ya hewa. Ukiwa na akili timamu ni lazima Dude likutishe.Usichoamini hizi porojo zipo humu mitandaoni tuu, huko field watu na CCM yao hauwaambii kitu.
Kosa la kiufundi lilifanyika 2015 pale wananchi walikuwa tayari ila Babu Balozi na Le professeri wakaunawa mpira kwenye penalty box kwa makusudi tokea hapo wananchi nikiwemo mimi hatuwaelewi wapinzani.
Kweli dude balaa maana limesababisha ziara za wana dude nchi nzima.Lilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap, wananchi nao wakalipokea chap chap. Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia saini!
Kila likitaka kulazwa halilali, kama ni mboga basi hii imechacha! Inamuumbua mpishi na inamsumbua mlaji ambae kagoma na sio kugoma tu bali kashika na bango.
Dude hili limeibua mengi hata wale waliokuwa kimya wamenena, tena wanatapika nyongo haswa. Kuonyesha kuwa dude hili ni imara limeanza hadi kuzingua misimamo ya kiimani!
Majukwaani hawalali, dude hili limewapa baadhi yetu uwezo wa kupiga msamba kama sio sogodati. Mbaya mbovu, dude limegonga mlango mpaka kwa akina Tanzania intelligence security huduma, wakereketwa wanahoji "Mlikuwa wapi wakati dude linaingia?"
Hao jamaa nao huwa hawaju kitu, kawaida yao huwa ni kukaa kimya ila vitendo ndio vitajibu. Wao hawapendi vipaza sauti lakini dude ndio hilo limewatazama wao kwasasa.
Ilipofikia sio wakumtafuta mchawi ni nani, bali ni lazima apatikane komando kipensi wakulituliza hili dude. Waswahili walisema usipoziba ufa utajenga ukuta. Hili dude ni aidha litaenda na watu au mtu au jitu.
Mipango bila pesa ni kelele!
Wamepanga kupiga mkutano wa nguvu kule Dubei!!Kweli dude balaa maana limesababisha ziara za wana dude nchi nzima.
Mara Singida mara Tabora, Mwanza n.k
Ngoja tusubiri mwisho wake
Aliokula mahari lazma ateme bungo
Duh watu wanapiga mipunga hadi sio poa🤣Kuna clip nimesikia mahari imetajwa dolari mil. 100, na watu wameshanunua apartments huko ushuani kwa cash, haiwezekani watu wachache wapokee rushwa kugawa rasilimali za nchi, this is outrageous!!!
Hili limeshapita na kama kuna makosa watrekebisha mbele.Kwa serikali na Chama chake kukubali kubadilisha jambo lolote katika huu mktaba hawawezi kwani wanaona kama watawapa credit wapinzani.Heri tupigwe faini ya matrilioni lakini si kuwapa sifa hawa wapinzani.Lilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap, wananchi nao wakalipokea chap chap. Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia saini!