Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Dude what the meaning!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Gwaji kabotelea wapi wajameni,au kaenda Boston na kundi la kwanza aliyowapa ahadi😂"Naliamsha Dudeeee Mhhhhhhhh eheeeeeeee' - Gwajima
Akili ndogo kwenye kichwa kikubwa, unaiumiza miguu. By Apostle N. Shaboko☹☹☹✌Sasa kama mie kichwa changu kina uwezo wa kubeba sisimizi kisha we unanibebesha tembo unategemea nini??
Huu mkataba LAZIMA utekelezwe. Kelele hata mtoni zipo!Lilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap, wananchi nao wakalipokea chap chap. Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia saini!
Kila likitaka kulazwa halilali, kama ni mboga basi hii imechacha! Inamuumbua mpishi na inamsumbua mlaji ambae kagoma na sio kugoma tu bali kashika na bango.
Dude hili limeibua mengi hata wale waliokuwa kimya wamenena, tena wanatapika nyongo haswa. Kuonyesha kuwa dude hili ni imara limeanza hadi kuzingua misimamo ya kiimani!
Majukwaani hawalali, dude hili limewapa baadhi yetu uwezo wa kupiga msamba kama sio sogodati. Mbaya mbovu, dude limegonga mlango mpaka kwa akina Tanzania intelligence security huduma, wakereketwa wanahoji "Mlikuwa wapi wakati dude linaingia?"
Hao jamaa nao huwa hawaju kitu, kawaida yao huwa ni kukaa kimya ila vitendo ndio vitajibu. Wao hawapendi vipaza sauti lakini dude ndio hilo limewatazama wao kwasasa.
Ilipofikia sio wakumtafuta mchawi ni nani, bali ni lazima apatikane komando kipensi wakulituliza hili dude. Waswahili walisema usipoziba ufa utajenga ukuta. Hili dude ni aidha litaenda na watu au mtu au jitu.
Mipango bila pesa ni kelele!
Wamejivika kijani bandia kuaminisha watu kuwa ukame hakuna huku watu wakishuhudia songombingo. Watu wanapenda kijani halisi sio bandia.Kweli dude balaa maana limesababisha ziara za wana dude nchi nzima.
Mara Singida mara Tabora, Mwanza n.k
Ngoja tusubiri mwisho wake
Aisee watu mna maono.Lilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap, wananchi nao wakalipokea chap chap. Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia saini!
Kila likitaka kulazwa halilali, kama ni mboga basi hii imechacha! Inamuumbua mpishi na inamsumbua mlaji ambae kagoma na sio kugoma tu bali kashika na bango.
Dude hili limeibua mengi hata wale waliokuwa kimya wamenena, tena wanatapika nyongo haswa. Kuonyesha kuwa dude hili ni imara limeanza hadi kuzingua misimamo ya kiimani!
Majukwaani hawalali, dude hili limewapa baadhi yetu uwezo wa kupiga msamba kama sio sogodati. Mbaya mbovu, dude limegonga mlango mpaka kwa akina Tanzania intelligence security huduma, wakereketwa wanahoji "Mlikuwa wapi wakati dude linaingia?"
Hao jamaa nao huwa hawaju kitu, kawaida yao huwa ni kukaa kimya ila vitendo ndio vitajibu. Wao hawapendi vipaza sauti lakini dude ndio hilo limewatazama wao kwasasa.
Ilipofikia sio wakumtafuta mchawi ni nani, bali ni lazima apatikane komando kipensi wakulituliza hili dude. Waswahili walisema usipoziba ufa utajenga ukuta. Hili dude ni aidha litaenda na watu au mtu au jitu.
Mipango bila pesa ni kelele!
"....... natural misty (wingu zito) blowing to the air, if you listen carefully, you will hear.....Moshi mkubwa umetanda juu ya anga wazee wa kale tunamuenzi mista Marley[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila sisi watanzania sijui nani katuloga, yani una mkabidhi mtu bandari yako?
Hahahahahah hio nyimbo inavyoanza sasa..."....... natural misty (wingu zito) blowing to the air, if you listen carefully, you will hear.....
Aisee watu mna maono.Lilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap, wananchi nao wakalipokea chap chap. Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia saini!
Kila likitaka kulazwa halilali, kama ni mboga basi hii imechacha! Inamuumbua mpishi na inamsumbua mlaji ambae kagoma na sio kugoma tu bali kashika na bango.
Dude hili limeibua mengi hata wale waliokuwa kimya wamenena, tena wanatapika nyongo haswa. Kuonyesha kuwa dude hili ni imara limeanza hadi kuzingua misimamo ya kiimani!
Majukwaani hawalali, dude hili limewapa baadhi yetu uwezo wa kupiga msamba kama sio sogodati. Mbaya mbovu, dude limegonga mlango mpaka kwa akina Tanzania intelligence security huduma, wakereketwa wanahoji "Mlikuwa wapi wakati dude linaingia?"
Hao jamaa nao huwa hawaju kitu, kawaida yao huwa ni kukaa kimya ila vitendo ndio vitajibu. Wao hawapendi vipaza sauti lakini dude ndio hilo limewatazama wao kwasasa.
Ilipofikia sio wakumtafuta mchawi ni nani, bali ni lazima apatikane komando kipensi wakulituliza hili dude. Waswahili walisema usipoziba ufa utajenga ukuta. Hili dude ni aidha litaenda na watu au mtu au jitu.
Mipango bila pesa ni kelele!
Huu uzi ni kama ule uliokuwa unamhusu Katelefoni.Hata kipindi kile cha Jiwe fununu zilianza hivi hivi ...mkapuuza na wengine wakasema....yuko salama amesema endeleeni na kazi...
Siku mbili baadaye...[emoji24][emoji24]
Lisemwalo lipo...
Mtoni zipo ila inategemea ni za nini,maji,upepo,mafuriko,vyura,viboko,mamba au samaki.Huu mkataba LAZIMA utekelezwe. Kelele hata mtoni zipo!
MENE, MENE, TEKELI, & PERESILilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap, wananchi nao wakalipokea chap chap. Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia saini!
Kila likitaka kulazwa halilali, kama ni mboga basi hii imechacha! Inamuumbua mpishi na inamsumbua mlaji ambae kagoma na sio kugoma tu bali kashika na bango.
Dude hili limeibua mengi hata wale waliokuwa kimya wamenena, tena wanatapika nyongo haswa. Kuonyesha kuwa dude hili ni imara limeanza hadi kuzingua misimamo ya kiimani!
Majukwaani hawalali, dude hili limewapa baadhi yetu uwezo wa kupiga msamba kama sio sogodati. Mbaya mbovu, dude limegonga mlango mpaka kwa akina Tanzania intelligence security huduma, wakereketwa wanahoji "Mlikuwa wapi wakati dude linaingia?"
Hao jamaa nao huwa hawaju kitu, kawaida yao huwa ni kukaa kimya ila vitendo ndio vitajibu. Wao hawapendi vipaza sauti lakini dude ndio hilo limewatazama wao kwasasa.
Ilipofikia sio wakumtafuta mchawi ni nani, bali ni lazima apatikane komando kipensi wakulituliza hili dude. Waswahili walisema usipoziba ufa utajenga ukuta. Hili dude ni aidha litaenda na watu au mtu au jitu.
Mipango bila pesa ni kelele!
Mzee Gwaji kabotelea wapi wajameni,au kaenda Boston na kundi la kwanza aliyowapa ahadi😂