Dude limekaa vibaya sana hakuna wa kulitatua ndani kwa ndani

Wajameni, siye kanda ya ziwa tufungulieni mi code yenu tjingie na ming'ombe yetu
"First they came for the Socialists, and I did not speak outβ€”
Because I was not a Socialist.
Then they came for the Trade Unionists, and I did not speak outβ€”
Because I was not a Trade Unionist.
Then they came for the Jews, and I did not speak outβ€”
Because I was not a Jew.
Then they came for meβ€”and there was no one left to speak for me.
 
Jana nani alisikia decoding mbili, Moja kutoka story ya Tumia Akili nyingine kutoka Yoga in form of kijembe Kwa mtu?
Nimegundua wengi wetu hatusikilizi in between lines
 
1. Butiku
2. War....oba
4.
5. Jasusi la mbinguni
 
Jamaa una akili sana..hiyo RU goodbye ningekaa mwaka mzima sijaijua
 
Jana nani alisikia decoding mbili, Moja kutoka story ya Tumia Akili nyingine kutoka Yoga in form of kijembe Kwa mtu?
Nimegundua wengi wetu hatusikilizi in between lines
Jambo baya kuliko yote ni kujilisha matumaini
 
Reactions: Ame
Hii inatisha ndani kwa ndani aisee

Hakuna wa kusovu! Dude linatafuna ndani kwa ndani !!

Hapumui,

Cha msingi msiache glass za maji wazi .


Britanicca!!!
Jamani mwenye credentials amwage humu tafadhali. Naona muda unakaribia.
 
πŸ—‘οΈ
πŸ—‘οΈ
πŸ—‘οΈ
πŸ—‘

It's all trash,
Hapa jf majina yetu tu (ID) Ni code,
Sasa ukikutanq na mtu anajifanya anatoa code za kidwanzi kama hizi ujue hana hakika na anachotaka kupresent. Sasa anaogopa akikisema direct ataja ku lose credibility endapo mambo yataenda ndivyo sivyo.

accept it or not
 
jf itapigwa pini mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…