Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

happyxxx

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
604
Reaction score
1,970
20240308_170310.jpg

Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada.

Haiwezekani mtetezi wa wanyonge ukafanya dhulma ya jasho la watu.

Lakini pia kwenye maandamano na mikutano haonekani.

Sitaki kuona mambo anayafanya Museveni yanafanyika hapa nchini na Chadema.

Wewe unaonaje anatosha hatoshi kirithishwa chama na baba yake?
 
Dudley wala hayuko active kwenye masuala ya politics, enyi wanasiasa, mnapofanya propaganda chagueni vema propaganda inayoweza kushtua upande mwingine.

Sisi tusiokua na vyama,tunawaona tu.
 
View attachment 2928366

Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sanaekurithi mikoba ya baba yake kuwa mwenyekiti wa Chadema.
Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka

Wewe unaonaje anatosha hatoshi kirithishwa chama na baba yake?
FREEMAN MBOWE NDIO MWENYEKITI WA CHADEMA Kwanini mnawapangia? ACHENI UJINGA
 
View attachment 2928366

Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sanaekurithi mikoba ya baba yake kuwa mwenyekiti wa Chadema.
Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada.
Haiwezekani mtetezi wa wanyonge ukafanya dhulma ya jasho la watu.
Lakini pia kwenye maandamano na mikutano haonekani.
Sitaki kuona mambo anayafanya Museveni yanafanyika hapa nchini na Chadema.

Wewe unaonaje anatosha hatoshi kirithishwa chama na baba yake?
Kama buku Saba ndio unalipwa Kwa ujinga huu basi CCM hakuna mwenye akili.
 
Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada.

Haiwezekani mtetezi wa wanyonge ukafanya dhulma ya jasho la watu.

Lakini pia kwenye maandamano na mikutano haonekani.

Sitaki kuona mambo anayafanya Museveni yanafanyika hapa nchini na Chadema.

Wewe unaonaje anatosha hatoshi kirithishwa chama na baba yake?
Unajidhalilsha ukumbini JF, unawafanya watu wakiona thread/post zako wana skip maana wanajua ni utumbo mtupu. Jenga heshima yako JF kwa kuandika sense and sense only!
 
Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada.

Haiwezekani mtetezi wa wanyonge ukafanya dhulma ya jasho la watu.

Lakini pia kwenye maandamano na mikutano haonekani.

Sitaki kuona mambo anayafanya Museveni yanafanyika hapa nchini na Chadema.

Wewe unaonaje anatosha hatoshi kirithishwa chama na baba yake?
Kwani ni chama cha kifalme eeh!
 
Anatosha sana pamoja na dhulumati aliyofanya ukozangatia cdm ni kampuni ya ukoo
 
Back
Top Bottom