Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada.

Haiwezekani mtetezi wa wanyonge ukafanya dhulma ya jasho la watu.

Lakini pia kwenye maandamano na mikutano haonekani.

Sitaki kuona mambo anayafanya Museveni yanafanyika hapa nchini na Chadema.

Wewe unaonaje anatosha hatoshi kirithishwa chama na baba yake?
Haipendezi mtoto kumrithi baba....hata kama anatosha, ajifunze kutosheka!
 
Tutakichagua Chuma kirithi nafasi ya Uenyekiti na si mwingine ni TUNDU ANTIPAS LISSU.
 
Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada.

Haiwezekani mtetezi wa wanyonge ukafanya dhulma ya jasho la watu.

Lakini pia kwenye maandamano na mikutano haonekani.

Sitaki kuona mambo anayafanya Museveni yanafanyika hapa nchini na Chadema.

Wewe unaonaje anatosha hatoshi kirithishwa chama na baba yake?
Mi naona anatosha kukuoa ww
 
CCM imetengeneza wehu wakutosha nchi hii
 
Back
Top Bottom