[emoji1787]Mbona Mbowe karithi chama kwa baba mkwe?
FREEMAN MBOWE NDIO MWENYEKITI WA CHADEMA Kwanini mnawapangia? ACHENI UJINGAView attachment 2928366
Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sanaekurithi mikoba ya baba yake kuwa mwenyekiti wa Chadema.
Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka
Wewe unaonaje anatosha hatoshi kirithishwa chama na baba yake?
kama baba mkwe anatoa uridhi nenda nawe kadai?Mbona Mbowe karithi chama kwa baba mkwe?
Kama buku Saba ndio unalipwa Kwa ujinga huu basi CCM hakuna mwenye akili.View attachment 2928366
Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sanaekurithi mikoba ya baba yake kuwa mwenyekiti wa Chadema.
Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada.
Haiwezekani mtetezi wa wanyonge ukafanya dhulma ya jasho la watu.
Lakini pia kwenye maandamano na mikutano haonekani.
Sitaki kuona mambo anayafanya Museveni yanafanyika hapa nchini na Chadema.
Wewe unaonaje anatosha hatoshi kirithishwa chama na baba yake?
Makonda kaingia na mbinu za KIJINGA na KIPUMBAVUPropaganda za UVCCM toleo la Makonda ni zero brain.
Apewe hiyo ni Mali ya babu yake mzaa mama yake.Mbona Mbowe karithi chama kwa baba mkwe?
Unajidhalilsha ukumbini JF, unawafanya watu wakiona thread/post zako wana skip maana wanajua ni utumbo mtupu. Jenga heshima yako JF kwa kuandika sense and sense only!
Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.
Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada.
Haiwezekani mtetezi wa wanyonge ukafanya dhulma ya jasho la watu.
Lakini pia kwenye maandamano na mikutano haonekani.
Sitaki kuona mambo anayafanya Museveni yanafanyika hapa nchini na Chadema.
Wewe unaonaje anatosha hatoshi kirithishwa chama na baba yake?
Kwani ni chama cha kifalme eeh!

Anatosha sana pamoja na dhulumati aliyofanya ukozangatia cdm ni kampuni ya ukoo
Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.
Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada.
Haiwezekani mtetezi wa wanyonge ukafanya dhulma ya jasho la watu.
Lakini pia kwenye maandamano na mikutano haonekani.
Sitaki kuona mambo anayafanya Museveni yanafanyika hapa nchini na Chadema.
Wewe unaonaje anatosha hatoshi kirithishwa chama na baba yake?
Umesahau kuwa baba mkwe wa Mbowe alikuwa ndio Mwenyekiti wa chama?Kwani ni chama cha kifalme eeh!