Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Alisema anautaka uebyekiti wa CHADEMA?
Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.
Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada.
Haiwezekani mtetezi wa wanyonge ukafanya dhulma ya jasho la watu.
Lakini pia kwenye maandamano na mikutano haonekani.
Sitaki kuona mambo anayafanya Museveni yanafanyika hapa nchini na Chadema.
Wewe unaonaje anatosha hatoshi kirithishwa chama na baba yake?
Jitahidi uukimbie upumbavu hata kama wenyewe umekung'ang'ania.Mbowe wakati anaachiwa chama na baba mkwe wake nani alikuwa anamjua?
Ametajwa wapi kuwa ata ridhi hiyo nafasi? To me kama hana interest na siasa abaki huko huko
Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.
Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada.
Haiwezekani mtetezi wa wanyonge ukafanya dhulma ya jasho la watu.
Lakini pia kwenye maandamano na mikutano haonekani.
Sitaki kuona mambo anayafanya Museveni yanafanyika hapa nchini na Chadema.
Wewe unaonaje anatosha hatoshi kirithishwa chama na baba yake?
Kwamba?Anatajwa ndani ya chama.
Hahaahahaaa kitu kama The Heroin II Case. Sikumbuki vizuri
.
Hiyo nafasi inawafaa Peter Msigwa au John Heche. Ila chonde chonde msije kuwaua mapema kama alivyouliwa Chacha Wangwe
Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.
Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada.
Haiwezekani mtetezi wa wanyonge ukafanya dhulma ya jasho la watu.
Lakini pia kwenye maandamano na mikutano haonekani.
Sitaki kuona mambo anayafanya Museveni yanafanyika hapa nchini na Chadema.
Wewe unaonaje anatosha hatoshi kirithishwa chama na baba yake?
Unalazimisha au mlikaa na Mbowe akakuambia?Imeandikwa wapi,ukurasa upi wakasome?Ndio mrithi wa babake
Unaendeshwa na hisia zako mfu.Huo ni utaratibu wa chama hakiendi mbali, mzee mtei alisema chama changu hawezi kupewa mbwa au kyasaka
Na akina nani? Na wapi wame publish?Anatajwa ndani ya chama.
Taarifa za ndani na siri huwa zinakuwa published?Na akina nani? Na wapi wame publish?
Wanajichanganyaa.... sanaNilikuwa nashangaa hapa, mbona huyu mtu sijawahi hata kumsikia!