Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

Mbowe wakati anaachiwa chama na baba mkwe wake nani alikuwa anamjua?
Mbowe alikuwa Mwenyekiti wa BAVICHA miaka ya 90 na aligombea ubunge Jimbo la Hai mwaka 1995 ila hakufanikiwa kushinda kwa Tiketi ya CHADEMA. Kipindi hicho CHADEMA hakuna anayeijua. Nashangaa Leo mnajifanya wajuaji.
 
Yaani dude ni kama Ile ya sasa ambapo wanafamilia wazanzabr wanaongoza bara na Visiwani
 
Halafu ana sura mbaya mno. Haitaleta taswira nzuri kwa chama. Mi nafikiri yule mtoto wa bimdogo Joyce Mukya anafaa sana kushika usukani wa Baba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…