Dudu baya a.k.a mamba aichana chana clouds fm, amwagia sifa rubby

Dudu baya a.k.a mamba aichana chana clouds fm, amwagia sifa rubby

Ndugu yangu wee,kwani kuna kuna anayenyonywa basi? Ni vile tu wabongo wanapenda sana udaku na maneno ya uongo na kuzushia watu ubaya na kama ujuavyo mara nyingi ubaya huvuma kuliko wema,kwa mfano huyu mtoto Ruby,awali hakuna aliekuwa akimfahamu Ruby,lakini Clouds fm kupitia fiesta hiyo hiyo wakamtoa ,ametoka wabongo wanamfahamu na shoo anapata,lakini kuna watu wamemjaza ujinga mtoto kajiona ana thamani kuliko clouds na tamasha la fiesta lililomtambulisha,amekataa,eti hataki kunyonywa,sasa najiuilza hataki kunyonywa nini alichonacho Ruby na kujifananisha na nani hata afikie kutamka hayo?Hivi Ruby ana thamani ya kumzidi Vanessa Mdee? mbona vanessa anahangaika na fiesta? jibu ni kwamba Vanessa anajitambua na anatambua thamani ya fiesta anajua fiesta ina maana kubwa kwake ndo maana yupo na anapanda hizo coaster bila nyodo wala kwere,Kwa taarifa yako wasanii wanaotaka kupanda kwenye jukwaa la fiesta ni wengi kuliko wasiotaka, na wasiotaka kiukweli wanataka ila wanajikaza kisabuni wasionekane masnitch yaani wanajiua kwa tai zao shingoni maskini,nawaonea huruma kujiumiza roho buree kwa kuichukia clooouds fm mabingwa wa burudani bongo.
Hv clouds kuna wasanii inawapeleka studio kurekodi?
 
Hv clouds kuna wasanii inawapeleka studio kurekodi?
Sina uhakika katika hili,lakini kipindi kile kulipokua na kampuni ya Ruge iliyokuwa ikiitwa Smooth Vibe ilikua inawashughulikia wasanii kwa ukaribu na kiasi kikubwa japo pia sina uhakika kama ilikua inawapeleka studio
 
Sina uhakika katika hili,lakini kipindi kile kulipokua na kampuni ya Ruge iliyokuwa ikiitwa Smooth Vibe ilikua inawashughulikia wasanii kwa ukaribu na kiasi kikubwa japo pia sina uhakika kama ilikua inawapeleka studio
Siisikii hyo label siku hz
 
Dudu kachuja,amepitwa na wakai anamaliza hasira kwa clouds
Fiesta ndio kitokeo cha wasanii wachanga
 
Siisikii hyo label siku hz

Waliachana nayo kitambo baada ya maneno kuwa mengi kuwa ilikua inasababisha upendeleo kwa wanamuziki waliokuwa katika ile label kwamba nyimno zao kuwa ndio zinazopigwa sana redioni ndipo walipoamua kuachana nayo na kuwataka watangazaji waliokuwa wanamuziki pia kuchagua moja iwe muziki au kazi,nadhani hii ilikua moja ya sababu nafikiri kulikua na zingine pia,ndipo wakaja na idea ya THT yaani chuo cha muziki badala ya label.
 
hata kama analipwa laki tano. Nuh laki mbili ni aibu sana kwa mtu wa calibre yake kuzungurushwa kwenye coaster na akina nuh...amejiaibisha sana

Kwa hiyo unapendekeza awe anakaa nyumbani tu mpaka mtakapojitokeza nyie wenye uwezo wa kumzungusha kwenye ndege.

Jitokezeni muwalipe million 100 kwa show siyo mnadis tu Clouds nyuma ya keyboards.
 
Hatukatai kuwa clouds ni brand kubwa, na hatukatai kuwa kipitia wasanii, they make millions of money

Sasa tunataka win to win situation, waache unyonyaji
Kila biashara ina mbinu zake...labda hizo mbinu ndio mnazotafsiri kama unyonyaji....labda mngetafiti pia kwa nini hao wengine hawafiki alipo Clouds.
 
OK kumbe walau wanapata kitu,
Kuhusu chakula,malazi,mavazi ya kila show nani anagharamia?
mkuu nani akupe hiyo pesa fiesta laki 3 kwa show mikataba yenyew yakiwaki mnasainishww mbele ya kamela
 
si haba lakini kwa msanii anaye anza kujitegemea.....maana laki mbili mara show 10 ni milioni mbili......kuna wasomi wanasugua gaga miezi sita hawajaingiza hata elfu hamsini........
mkuu we unajua pesa ya promotion mpaka nyimbo watanzania wote waielewe huo ni unyonyaji
 
Clouds wanawafanya wasanii wakose kujiamini. Kila msanii anaona hawezi kujitegemea anapokuwa nje ya Clouds, inatakiwa wasanii wafunge mkanda ili kujinasua na huo ukoloni wa kifikra.
clouds fm,babu tale,said fela,yule mwingine nani sijui salam,sijui salim...ni watu hatari sana kwa mziki wa bongo fleva
 
Mamba kama mnautofauti na Clouds fm isingekuwa vzx kuliongea mbele ya Media hiyo sidhani kama kuna mtangazaji alikuita uongelee suala kama hilo....Ila kama ulibugi ww pole sana pia kama wamekuonea pole pia...kaeni meza moja mmalize tofauti zenu...
 
Ni kama kwamba hao jamaa wana remote contol kwa wasanii. Wanaweza kuamua kukupamba au kukushusha.
Mindset za wasanii nao wanaamini huwezi kuwa mwanamuziki kama hukubaliki na hao jamaa.
Maana nimeshawasikia wengi.
Tatizo wakiwa na maelewano huwa hawatengenezi mahusiano na wadau wengine wa muziki siku wakimwagwa hawana pa kwenda matokeo yake wanapotea jumla
 
Hakuna sehemu nyingine ya kuwa muwazi zaidi ya kuwa live hewani kama wanapingamizi na hoja za dudubaya basi waje wakanushe.
 
clouds fm,babu tale,said fela,yule mwingine nani sijui salam,sijui salim...ni watu hatari sana kwa mziki wa bongo fleva
Haswaa wanajifanya kwamba wana hati milki ya muziki wa Bongo!
 
Usishangae huyo huyo konki baadaye akasema.. wasafi ni wanyonyaji!.. walimfanyia mbaya mavoko!....
"maisha bila unafki hayaendi "
 
Bila kuongelea Clouds Media naona watu hawana pa kupatia kiki

Kama wasanii wangekuwa wanalipwa pesa mbaya si wangeenda kwingine.

Mkubali kuwa Clouds kwa jina.wamejijenga na mengi hata iweje...wakongwe wa mengi nchini.
Lazima mbuyu uanguke uoze ili mchicha ustawi
 
Back
Top Bottom