mkonongo1938
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 1,990
- 2,398
Lakini si walisaini mikataba jamaniKina nikki wa pili na masters zao wanakula laki tano[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini si walisaini mikataba jamaniKina nikki wa pili na masters zao wanakula laki tano[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Hatukatai kuwa clouds ni brand kubwa, na hatukatai kuwa kipitia wasanii, they make millions of moneyMnachotaka kuaminisha watu hapa ni kuwa nyie mnaochangia humu ni Werevu kuliko hao Wasanii wanaoshiriki Fiesta?
Kuna siku nilikuwa na mazungumzo na Tajiri mmoja maarufu pale Arusha...baadae alitaka kuagiza vifaa vinavyogharimu pesa nyingi sana, papo hapo, nilipoonyesha wasiwasi akaniambia 'mimi hutumia jina kuagiza Kaka'...na ndivyo alivyofanya, alitumia simu yake tukiwa tumekaa pale pale.
Ukisoma hii michango humu jibu ni rahisi sana....hao Clouds wameshajenga brand yao.
Nilichojifunza kwa yule Bwana Tajiri wa Arusha ni kuwa, kutokana na jina lake hata hao/wale anaowapigia simu kuleta vifaa kwake ni faraja kubwa kwao hata kabla ya kufikiria wanalipwa lini na vipi.
Labda wengi wetu humu sio Wafanya biashara ndio maana ni vigumu sana kuipata hiyo picha hapo...Wasanii wanaelewa na hicho ndio muhimu zaidi.
Hivi kweli kwa hali ilivyo sasa utaandaa show ya Dudu baya si unatafuta balaa? si ni bora tu nimruhusu anitukane kuliko nikapate hasara.
Mkonongo vip mkuu, hilo jina sio geniLakini si walisaini mikataba jamani
Yap tupo mkuu!Mkonongo vip mkuu, hilo jina sio geni
Wap upoYap tupo mkuu!
Dah,maskini Dully wangu!Ahhhh, kaka mbona kitambo keshajisalimisha kiaina.
Ni kaka ako au shabiki wake[emoji15] [emoji15] [emoji15]Dah,maskini Dully wangu!
Hakuna kitu nilichokiona kibaya kma hcho kupakizwa wasanii wote wakubwa kwenye coaster moja likitokea la kutokea ingawa hatuombei km ajali mbaya,nani wa kulaumiwa wakati karibu ya wasanii wote wana usafiri wao au ni kubana matumizi wakati wanawatengenezea mkwanja wa kutosha,wasanii wetu waliangalie hili kwa jicho la ziadaKama komando JIDE, hamna kuyumbishwa, inasikitisha wasanii wakubwa wamejazwa ndani ya coaster dar hadi mikoani kisa kuiogopa clouds mwdia.
Hakuna kitu nilichokiona kibaya kma hcho kupakizwa wasanii wote wakubwa kwenye coaster moja likitokea la kutokea ingawa hatuombei km ajali mbaya,nani wa kulaumiwa wakati karibu ya wasanii wote wana usafiri wao au ni kubana matumizi wakati wanawatengenezea mkwanja wa kutosha,wasanii wetu waliangalie hili kwa jicho la ziada
Shabiki Wake Namba Moja!Ni kaka ako au shabiki wake[emoji15] [emoji15] [emoji15]
biashara ukiwa unai-host wewe na wengine wanaiogopa that means wewe ndio utakua unajua changamoto zake... music business sio rahisi kiivyo na kufanya kazi na wasanii haswa wa bongo inahitaji moyo sana... Tusubiri huko mbeleni labda competitions ikiongezeka na clouds watabadilika... But mpaka sasa mkombozi wa wasanii bongo ni clouds..Upo unaelewa vizuri fitina za mawingu?
Mfn mdogo tu, usipotii mamlaka yao hata km ni ya kinyonyaji, wasanii wengine wanaoabudu clouds wanakatazwa kurekodi kugonga ngoma pmj ya kushirikiana na wewe, sasa jiulize hapo
Then it's interesting kuona kwamba mwaka 2013 alikuwa kwenye Fiesta; mwaka 2014 akaomba kupanda kwenye jukwaa la Fiesta, all of a sudden 2016 hao hao aliokuwa akiwatumikia leo wamekuwa wanyonyaji!Yeye kasema clouds ni wanyonyaji na wana miaka sita hawajapiga ngoma zake
Nadhan umeelewa hayo ya kuomba kupanda kwenye jukwaa sina jibu
Ndo basi tena! Hebu fikiri hivi Dully ni wa kubembeleza kolabo kwa vijana chipukizi wa WCB? Hivi anaweza tena kupata shoo ya kujaza hata Pub?Dah,maskini Dully wangu!
kwahiyo nyimbo za JIDE zinazotamba pia wamezipasisha clouds media ?
Yaani Mkuu umenilenga humo humo wasanii niliokuwa nawfikiria akilini wanapandishwaje mule miye nadhan wao walitakiwa wasaini mkataba wa kupiga show akimaliza show anaendelea na yake akitakiwa sehemu km ipo ndani ya mkataba wake use your own cars meeen,PONGEZI KWA WASANII KM BANANA ZORO,JAY DEE,DIMOND,FA,AY,SUGU,JAY MOO,PROF J,BUSHOKE,ALLY KIBA,MH TEMBA,NOORAH,MARLAW,K LYN,CRAZY GK,SOLO THANG Na wengine wengi hawa ni baadhi ya wasanii naona walikuwa/wanafanya BONGO FLEVA iheshimike nao waheshimike km wasanii cyo vilaza wasaniiFid Q nae kwenye Costa yupo na wakina man fongo mr blue kwenye Costa wasanii wa bongo itawachukua mda kujitambua damond na Ay sizani kama wanaweza kukaa kwenye Costa moja na man fongo
Yaani Mkuu umenilenga humo humo wasanii niliokuwa nawfikiria akilini wanapandishwaje mule miye nadhan wao walitakiwa wasaini mkataba wa kupiga show akimaliza show anaendelea na yake akitakiwa sehemu km ipo ndani ya mkataba wake use your own cars meeen,PONGEZI KWA WASANII KM BANANA ZORO,JAY DEE,DIMOND,FA,AY,SUGU,JAY MOO,PROF J,BUSHOKE,ALLY KIBA,MH TEMBA,NOORAH,MARLAW,K LYN,CRAZY GK,SOLO THANG Na wengine wengi hawa ni baadhi ya wasanii naona walikuwa/wanafanya BONGO FLEVA iheshimike nao waheshimike km wasanii cyo vilaza wasaniiFid Q nae kwenye Costa yupo na wakina man fongo mr blue kwenye Costa wasanii wa bongo itawachukua mda kujitambua damond na Ay sizani kama wanaweza kukaa kwenye Costa moja na man fongo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ni wako!Dah,maskini Dully wangu!
Anaongea pointThen it's interesting kuona kwamba mwaka 2013 alikuwa kwenye Fiesta; mwaka 2014 akaomba kupanda kwenye jukwaa la Fiesta, all of a sudden 2016 hao hao aliokuwa akiwatumikia leo wamekuwa wanyonyaji!
Anyway, let's cut to the chase and talk about business! Dudubaya kwa sasa hana jipya na ndio maana hata wewe umeshindwa kutaja lini kwa mara ya mwisho umesikia wimbo wake na kupitia radio ipi! Swali la pili kwamba wimbo wake wa mwisho ku-hit ni upi unafahamu jibu lake lakini kulitoa umeona utathibitisha kwamba kelele zake hazina msingi! Hata hizo nyimbo zake anazolalamika kutopigwa sijui zipi... labda Nakupenda tu? Au Manundu!! Binafsi nina miaka zaidi ya 5 sijawahi kusikia ikipigwa Cinderella au Nakshi Nakshi za Ali Kiba wala Ukimuona au Nitarejea za Diamond ambazo ni 100% far better than any of Dudu's tracks! Sasa kama na yeye anatarajia watu wataanza kupekua pekua library kuitafuta "Kijana Huna Nidhamu" Basi ajiandae kulaani wengi!!!