Dudu baya a.k.a mamba aichana chana clouds fm, amwagia sifa rubby

Dudu baya a.k.a mamba aichana chana clouds fm, amwagia sifa rubby

Mnachotaka kuaminisha watu hapa ni kuwa nyie mnaochangia humu ni Werevu kuliko hao Wasanii wanaoshiriki Fiesta?

Kuna siku nilikuwa na mazungumzo na Tajiri mmoja maarufu pale Arusha...baadae alitaka kuagiza vifaa vinavyogharimu pesa nyingi sana, papo hapo, nilipoonyesha wasiwasi akaniambia 'mimi hutumia jina kuagiza Kaka'...na ndivyo alivyofanya, alitumia simu yake tukiwa tumekaa pale pale.

Ukisoma hii michango humu jibu ni rahisi sana....hao Clouds wameshajenga brand yao.

Nilichojifunza kwa yule Bwana Tajiri wa Arusha ni kuwa, kutokana na jina lake hata hao/wale anaowapigia simu kuleta vifaa kwake ni faraja kubwa kwao hata kabla ya kufikiria wanalipwa lini na vipi.

Labda wengi wetu humu sio Wafanya biashara ndio maana ni vigumu sana kuipata hiyo picha hapo...Wasanii wanaelewa na hicho ndio muhimu zaidi.

Hivi kweli kwa hali ilivyo sasa utaandaa show ya Dudu baya si unatafuta balaa? si ni bora tu nimruhusu anitukane kuliko nikapate hasara.
Hatukatai kuwa clouds ni brand kubwa, na hatukatai kuwa kipitia wasanii, they make millions of money

Sasa tunataka win to win situation, waache unyonyaji
 
aiseee hivi kumbe Dudubaya bado anacheza mpira?!
yupo timu gani siku hizi
 
Kama komando JIDE, hamna kuyumbishwa, inasikitisha wasanii wakubwa wamejazwa ndani ya coaster dar hadi mikoani kisa kuiogopa clouds mwdia.
Hakuna kitu nilichokiona kibaya kma hcho kupakizwa wasanii wote wakubwa kwenye coaster moja likitokea la kutokea ingawa hatuombei km ajali mbaya,nani wa kulaumiwa wakati karibu ya wasanii wote wana usafiri wao au ni kubana matumizi wakati wanawatengenezea mkwanja wa kutosha,wasanii wetu waliangalie hili kwa jicho la ziada
 
Fid Q nae kwenye Costa yupo na wakina man fongo mr blue kwenye Costa wasanii wa bongo itawachukua mda kujitambua damond na Ay sizani kama wanaweza kukaa kwenye Costa moja na man fongo
 
Upo unaelewa vizuri fitina za mawingu?

Mfn mdogo tu, usipotii mamlaka yao hata km ni ya kinyonyaji, wasanii wengine wanaoabudu clouds wanakatazwa kurekodi kugonga ngoma pmj ya kushirikiana na wewe, sasa jiulize hapo
biashara ukiwa unai-host wewe na wengine wanaiogopa that means wewe ndio utakua unajua changamoto zake... music business sio rahisi kiivyo na kufanya kazi na wasanii haswa wa bongo inahitaji moyo sana... Tusubiri huko mbeleni labda competitions ikiongezeka na clouds watabadilika... But mpaka sasa mkombozi wa wasanii bongo ni clouds..
 
Yeye kasema clouds ni wanyonyaji na wana miaka sita hawajapiga ngoma zake
Nadhan umeelewa hayo ya kuomba kupanda kwenye jukwaa sina jibu
Then it's interesting kuona kwamba mwaka 2013 alikuwa kwenye Fiesta; mwaka 2014 akaomba kupanda kwenye jukwaa la Fiesta, all of a sudden 2016 hao hao aliokuwa akiwatumikia leo wamekuwa wanyonyaji!

Anyway, let's cut to the chase and talk about business! Dudubaya kwa sasa hana jipya na ndio maana hata wewe umeshindwa kutaja lini kwa mara ya mwisho umesikia wimbo wake na kupitia radio ipi! Swali la pili kwamba wimbo wake wa mwisho ku-hit ni upi unafahamu jibu lake lakini kulitoa umeona utathibitisha kwamba kelele zake hazina msingi! Hata hizo nyimbo zake anazolalamika kutopigwa sijui zipi... labda Nakupenda tu? Au Manundu!! Binafsi nina miaka zaidi ya 5 sijawahi kusikia ikipigwa Cinderella au Nakshi Nakshi za Ali Kiba wala Ukimuona au Nitarejea za Diamond ambazo ni 100% far better than any of Dudu's tracks! Sasa kama na yeye anatarajia watu wataanza kupekua pekua library kuitafuta "Kijana Huna Nidhamu" Basi ajiandae kulaani wengi!!!
 
kwahiyo nyimbo za JIDE zinazotamba pia wamezipasisha clouds media ?

Kwanza nikwambie kitu, huyo JIDE mwenyewe unayemsema kama sio hao Clouds fm usingemjua wala kumtambua kama mwanamuziki nadhani labda bado angekua muuza sigara huko Zanzibar.

Ni kazi ya clouds fm na hasa huyo unayemfanya adui kwa sasa ( Ruge Mutahaba) ndio kwa kiasi kikubwa imemfanya JD kuwa huyo unayemjua kwani wao ndio waliompika na kumpromote hadi nchi nzima ikamfahamu na kumpenda, naweza kusema JD ni moja ya mifano hai ya kukuonyesha clouds fm ni watu wa aina gani katika industry ya burudani,Halafu nikwambie ndugu, JD wa sasa pamoja na kuwa bado ni mwanamuziki mzuri lakini hayupo juu kivile kama unavyotaka niamini,JD umaarufu wake umeshuka kwa kiasi fulani,siyo yule wa enzi zile au hata yule wa pale Morocco kwa wachina au siku za pale kwake Nyumbani Lounge.
JD kwa sasa anashabikiwa kwanza:Na mashabiki wake wa ukweli(ambao sio wengi sana). Pili:maadaui wa clouds kama wewe (ambao ndio wengi kwa mtazamo wangu)ambao mnataka kuwaonyesha clouds jeuri yenu kwamba hata bila wao clouds kumpromote JD bado yupo juu,jambo ambalo si kweli JD ka drop kiasi fulani.Tatu:washabiki wa kawaida wa kazi zake (ambao ni wa wastani)wanao muonea huruma kwa kuaminishwa kwamba JD ananyanyaswa na kubaniwa na clouds so wanashow some love.
Huo ndio ukweli wa hali ya JD kwa sasa japo wewe unataka niamini vinginevyo.
 
Fid Q nae kwenye Costa yupo na wakina man fongo mr blue kwenye Costa wasanii wa bongo itawachukua mda kujitambua damond na Ay sizani kama wanaweza kukaa kwenye Costa moja na man fongo
Yaani Mkuu umenilenga humo humo wasanii niliokuwa nawfikiria akilini wanapandishwaje mule miye nadhan wao walitakiwa wasaini mkataba wa kupiga show akimaliza show anaendelea na yake akitakiwa sehemu km ipo ndani ya mkataba wake use your own cars meeen,PONGEZI KWA WASANII KM BANANA ZORO,JAY DEE,DIMOND,FA,AY,SUGU,JAY MOO,PROF J,BUSHOKE,ALLY KIBA,MH TEMBA,NOORAH,MARLAW,K LYN,CRAZY GK,SOLO THANG Na wengine wengi hawa ni baadhi ya wasanii naona walikuwa/wanafanya BONGO FLEVA iheshimike nao waheshimike km wasanii cyo vilaza wasanii
 
Mkuu naomba kujua wasanii walioko fiesta wanalipwa sh ngap?yaan mikatAba yao ikoje Kwa show moja au fiesta nzima,na Malipo yanatofautiana kati ya msanii mmoja na mwingine?
 
Then it's interesting kuona kwamba mwaka 2013 alikuwa kwenye Fiesta; mwaka 2014 akaomba kupanda kwenye jukwaa la Fiesta, all of a sudden 2016 hao hao aliokuwa akiwatumikia leo wamekuwa wanyonyaji!

Anyway, let's cut to the chase and talk about business! Dudubaya kwa sasa hana jipya na ndio maana hata wewe umeshindwa kutaja lini kwa mara ya mwisho umesikia wimbo wake na kupitia radio ipi! Swali la pili kwamba wimbo wake wa mwisho ku-hit ni upi unafahamu jibu lake lakini kulitoa umeona utathibitisha kwamba kelele zake hazina msingi! Hata hizo nyimbo zake anazolalamika kutopigwa sijui zipi... labda Nakupenda tu? Au Manundu!! Binafsi nina miaka zaidi ya 5 sijawahi kusikia ikipigwa Cinderella au Nakshi Nakshi za Ali Kiba wala Ukimuona au Nitarejea za Diamond ambazo ni 100% far better than any of Dudu's tracks! Sasa kama na yeye anatarajia watu wataanza kupekua pekua library kuitafuta "Kijana Huna Nidhamu" Basi ajiandae kulaani wengi!!!
Anaongea point

Lkn dudu kawakilisha crowd kubwa ya wasanii
 
Back
Top Bottom