Dudu baya a.k.a mamba aichana chana clouds fm, amwagia sifa rubby

Dudu baya a.k.a mamba aichana chana clouds fm, amwagia sifa rubby

hapo umenishitua sana mkuu je ulipowasikia na kuwaelewa umewasaidia nini au umewachangia nini katika mziki wao.. KAMA KWELI UNATAKA KUWASAIDIA HAWA WASAII ANZISHA FIESTA YAKO NA MATAMASHA MENGI KILA MWEZI NCHI NZIMA NA UWALIPE SH MILLION 10 KWA SHOW HAPO UTAIANGUSHA CLOUDS NA UTAKUA UMEWAWEZESHA KWA VITENDO SIO KWA MANENO.. KUWAELEWA HAISAII CHOCHOTE KATIKA MAISHA YAO NA MZIKI WAO....CLOUDS NDIO KUNA FURSA
Huwa nawashangaa sana hawa watu wanaowajaza ujinga wasanii wa Bongo na kuwapondea Clouds eti wanawanyonya wasanii ilihali wanashindwa kuwasaidia au kuwapa hao wasanii njia mbadala ya jinsi ya kujitoa kwenye huo unyonyaji wa Clouds.

Nje ya Clouds fm sijaona mdau anayewapa wasanii fursa ya kutamba na kujitangaza kama wanavyofanya wao,ndio maana utakuta inakua vigumu kwa msanii kutamba kama hayupo karibu na Clouds kwa kuwa wao ni watu wa burudani na wametoa uwanja kwa wasanii kujitangaza kwa washabiki na wadau wengine wa sanaa kupitia tamasha la fiesta.
 
fiesta unalipwa laki 2 per show duuh kweli hawa mawingu fm
Kwan wamelazimishwa.tatizo la wabongo kazi kidogo wanataka watajirike siku hiyohiyo .ndo maana enzi za hawamu ya tano mnaisoma namba
 
Kinachoendelea pale Clouds mtakuja kukijua baadae sanaaa. Tena saaaaana.

Wale ni wafanya biashara, Bongo fleva kwao ni opportunity.

Kwani wee mwenzetu una kipi unachokifahamu kinachoendelea pale clouds? hebu tusaidie kutujuza na sisi wengine pamoja na wasanii tupate kuyajua kusudi wasanii wetu wasiendelee kunyonywa kama wanavyosema watu.

Kuhusu suala la biashara mbona hilo linafahamika wazi kuwa Clouds Entertainment/Media Group ni wafanya biashara ndio maana wana leseni ya biashara na wanalipa kodi kwa ajili hiyo,wale sio Charity organisation,ni watu wa fursa ndio maana na wao wanafundisha watu jinsi ya kutumia fursa katika semina zao za Fursa mikoani walau kushare na wabongo kwa yale machache waliyo nayo ili wasikae kulialia na kulalamika bila sababu.
 
kama ndo umejua leo clouds wanyonyaj pole sana....since wayback tunalijua hlo na hongera dudu baya AKA MAMBA.... TUNAOKUJUA TUNAUJUA MZIKI WAKO KAMA ALBAM YAKO YA AMRI 10 ZA MUNGU
NYI KIZAZI CHA SINGELI PONDENI TU...
Kizazi cha singeli hawajui watu wamekufa wakipigania huu mziki
 
Huwa nawashangaa sana hawa watu wanaowajaza ujinga wasanii wa Bongo na kuwapondea Clouds eti wanawanyonya wasanii ilihali wanashindwa kuwasaidia au kuwapa hao wasanii njia mbadala ya jinsi ya kujitoa kwenye huo unyonyaji wa Clouds.

Nje ya Clouds fm sijaona mdau anayewapa wasanii fursa ya kutamba na kujitangaza kama wanavyofanya wao,ndio maana utakuta inakua vigumu kwa msanii kutamba kama hayupo karibu na Clouds kwa kuwa wao ni watu wa burudani na wametoa uwanja kwa wasanii kujitangaza kwa washabiki na wadau wengine wa sanaa kupitia tamasha la fiesta.
Huo ndio unyonyaji wenyewe sasa, kujitengenezea mazingira ili wasanii wawaabudu wao clouds hata km hawapat maslah
 
Kwan wamelazimishwa.tatizo la wabongo kazi kidogo wanataka watajirike siku hiyohiyo .ndo maana enzi za hawamu ya tano mnaisoma namba
Kaz kidogo ya kuzungushwa kwenye kosta miezi miwili unaambulia million 1[emoji2][emoji2][emoji2][emoji3]
 
Kaz kidogo ya kuzungushwa kwenye kosta miezi miwili unaambulia million 1
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji3.png
Hiki kitu anacho mda mrefu nafkiri na angepewa muda zaidi angewa chana zaidi
Muda mrefu miaka mingapi kwa mfano?!

Dudubaya huyu hapa kwenye Fiesta Shinyanga mwaka 2013:
Dudu.png
Source: Bongo5

Kwahiyo mnachosema ni kwamba, hiyo 2013 Dudubaya alidhulumiwa kv ilikuwa ndo Fiesta yake ya mwisho!! Lakini pamoja na "kudhulumiwa", bado mwaka 2014 akaomba kwa hiari yake kupanda jukwaani... jukwaa la wale wale dhulmati!!! Huyu hapa Fiesta Tabora2014:
Dudu2.png

Millardayo

Au hadi September 2014 Clouds na Fiesta ya walikuwa poa hadi anafikia kuomba airtime kupitia Jukwaa la Fiesta!!! Lakini Kv alipigwa chini mwaka 2014 na 2016, tayari Fiesta imeshakuwa show ya kuzungushwa kwenye Coaster miezi miwili na kuambulia Sh. 1 Million ??!!!

Halafu haya mambo tuache unafiki!! Wewe hebu kuwa mkweli: Umesikia wimbo wa Dudubaya kwa mara ya mwisho lini na kupitia radio gani??! Pili, wimbo wa mwisho Dudubaya kubamba ni upi?!
 
Sio mara ya kwanza Dudu kuwachana Clouds, toka amepotea anawachana Clouds hadi leo hii. Sasa nini mwisho wa kuwachana?
Alichoongea ni ukweli au uongo?.. Kama ni kweli acha awachane tu hata kama ni mpaka mwakani ,kama ni uongo waende mahakamani kama walivyompeleleka jaydee
 
Kaz kidogo ya kuzungushwa kwenye kosta miezi miwili unaambulia million 1[emoji2][emoji2][emoji2][emoji3]
Watu wanalima mwaka mzima hata laki haikamati.unashangaa kupewa milion ya bure kisa unabinuabinua tumatako tu na kula bia
 
Muda mrefu miaka mingapi kwa mfano?!

Dudubaya huyu hapa kwenye Fiesta Shinyanga mwaka 2013:
View attachment 402248 Source: Bongo5

Kwahiyo mnachosema ni kwamba, hiyo 2013 Dudubaya alidhulumiwa kv ilikuwa ndo Fiesta yake ya mwisho!! Lakini pamoja na "kudhulumiwa", bado mwaka 2014 akaomba kwa hiari yake kupanda jukwaani... jukwaa la wale wale dhulmati!!! Huyu hapa Fiesta Tabora2014:
View attachment 402247
Millardayo

Au hadi September 2014 Clouds na Fiesta ya walikuwa poa hadi anafikia kuomba airtime kupitia Jukwaa la Fiesta!!! Lakini Kv alipigwa chini mwaka 2014 na 2016, tayari Fiesta imeshakuwa show ya kuzungushwa kwenye Coaster miezi miwili na kuambulia Sh. 1 Million ??!!!

Halafu haya mambo tuache unafiki!! Wewe hebu kuwa mkweli: Umesikia wimbo wa Dudubaya kwa mara ya mwisho lini na kupitia radio gani??! Pili, wimbo wa mwisho Dudubaya kubamba ni upi?!
Dudu baya ana wimbo mpya katoa mwaka huu
 
Hakuna movement hapo, movement pekee niliyowahi kuikubali na kuiunga mkono ni ile ya Sugu na vinega, ila nilikuwa dissappointed sana mwisho wa hilo sakata ulivyoisha, tukaja kugundua kumbe shida ya Sugu ilikuwa ni kupigania tumbo lake na hakuwa na nia ya dhati ya kufanya harakati, alipopewa chake akawatelekeza hata wale waliomsaidia, ndo wakaja kustuka kumbe alikuwa anawatumia. Kuanzia kipindi kile sitaki kusikia kitu kinaitwa movement, acha Ruge aendelee kuwanyoosha kwa upumbavu wao
Nash mc
 
Dudu baya ana wimbo mpya katoa mwaka huu
Sijauliza ikiwa katoa wimbo au hapana... nimehoji, mara yako ya mwisho kusikia ngoma ya Dudubaya ni lini na kupitia station gani?! Na nimeuliza wimbo wake wa mwisho ku-hit ni upi?! Aidha nikahoji, ikiwa mwaka 2013 alikuwapo kwenye Fiesta, mwaka 2104 akaomba kupanda kwenye jukwaa la Fiesta! Mwaka 2015 hakukua na Fiesta! Sasa huo ubaya wa Fiesta umeanza 2016 kwavile hayupo kwenye list?!
 
Huwa nawashangaa sana hawa watu wanaowajaza ujinga wasanii wa Bongo na kuwapondea Clouds eti wanawanyonya wasanii ilihali wanashindwa kuwasaidia au kuwapa hao wasanii njia mbadala ya jinsi ya kujitoa kwenye huo unyonyaji wa Clouds.

Nje ya Clouds fm sijaona mdau anayewapa wasanii fursa ya kutamba na kujitangaza kama wanavyofanya wao,ndio maana utakuta inakua vigumu kwa msanii kutamba kama hayupo karibu na Clouds kwa kuwa wao ni watu wa burudani na wametoa uwanja kwa wasanii kujitangaza kwa washabiki na wadau wengine wa sanaa kupitia tamasha la fiesta.
Totally right mostly of haters they no nothing about music business... Kuna comments zinatia simanzi mtu yupo huko vijijini hajui biashara ya mjini ikoje anawashauri wasanii waikimbie clouds??? Huyo dudubaya kwa sasa amechoka mbaya kazi kugongea bia na konyaji akikutana na wadau clubs..Jambo zito la kujiuliza ni kwanini high percentage ya wanaokimbia clouds hubaki maskini wa kutupwa na kuacha mziki jumla... kama kuna njia mbadala kwa nini wasiende huko wakati wanapokimbia clouds.Biashara za mziki Tanzania bado ni risk sana ndio maana makampuni na stations/tv nyingi zimegoma kuanzisha matamasha makubwa yenye formula inayoeleweka kama clouds...Pia jambo la kujiuliza ni kwanini hawa wasanii wakiondoka clouds huanza kulia lia kama watoto eti clouds imeua muziki wao kwani clouds ndio baba yao au ndio media pekee Tanzania.. Hawa waliojaribu kufanya tuwapongeze sana
 
Back
Top Bottom