Dudu baya a.k.a mamba aichana chana clouds fm, amwagia sifa rubby

Dudu baya a.k.a mamba aichana chana clouds fm, amwagia sifa rubby

**** kitu waru hawaelewi naona. Clouds sio kama wanawanyonya ila wanawataka kwa beibya discount kwa kuwa wanawapa show nyingi mfululizo. Ni kama mtu anaenunua bei ya jumla kwa kuwa unamuuzia vingi. Hivi mtu akitaka kukulipa 5M kwa show moja tu alafu akaja mwingine akataka kukulipa 3M kwa show 10 kwa akili ya biashara utasaini mkataba upi kati ya hiyo miwili? Wasanii sio wajinga nao ni wasomi wengine na wanawazidi elimu nyie na hivyo vidarasa vyenu na wengine wana managers wasomi. Wanafanya analysis na wanagundua kibiashara inalipa ma wana saini. We huniulizi wasanii wenyewe hawalalamiki mtu analalamika akishatemwa! Kwani Ruby ndo alikataa au Clouds ndo walimkata???? Elimu itumike zaid
Million 3 unazisema wewe, show moja ni laki mbili
 
Anajuaje ni wanyonyaji, kaonyesha nini au kama msanii hajui kujituma kufanyikiwa na kusubiri kusukumwa ni ku blame Clouds? Wanataka kuimba then hujui kujisimamia na what unataka, hujitambui kikazi na kuweka mbele bosi au lala waelewe na msanii kujua pesa bila bidii na skills za nini nini. Si watoke waende kwingine no body anawalizimisha kukaa na Clouds.

Waache kutamani life na mafanikio ya wengine, bali wapige kazi na kuji promote vizuri.
Tatizo mzik wa bongo fitina na anayeongoza kwa fitina ni clouds
 
Dahh, mzee hawa watu wanawakamua kama unavyotafuna ganda la muwa halafu utamu ukiisha wanawabwaga kama hawawajui, hebu tizama watu kama Mabaga Fresh au Dully Sykes walivyo. Ni aibu kwa Dully kusota ofisi za Dangote lakini kwa kuwa hana jinsi inabidi ajibanze ili maisha yasonge.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kawa tolea uvivu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cmpendi dudu anavomtishaga baba Qayla seriously
 
Clouds media stressed coweezy cowbama mzee mnyama Ngwair to DEATH.
mawingu fm sio watu wazuri kabisa.
 
Kuna kauli nimeipenda hapo inabid wasanii waichukue tu hakuna namna...
Hii ya kulipwa ujira mdogo na pesa yote kuishia hukohuko mikoani
 
Hakuna movement hapo, movement pekee niliyowahi kuikubali na kuiunga mkono ni ile ya Sugu na vinega, ila nilikuwa dissappointed sana mwisho wa hilo sakata ulivyoisha, tukaja kugundua kumbe shida ya Sugu ilikuwa ni kupigania tumbo lake na hakuwa na nia ya dhati ya kufanya harakati, alipopewa chake akawatelekeza hata wale waliomsaidia, ndo wakaja kustuka kumbe alikuwa anawatumia. Kuanzia kipindi kile sitaki kusikia kitu kinaitwa movement, acha Ruge aendelee kuwanyoosha kwa upumbavu wao
Kwa ujinga ule wa sugu
ONLY IN AFRIKA
 
Utamkuta mtu anataka kulipwa 2Mil wakati ana nyimbo mbili

Boss Ruge namkubali sana ni mtu wa watu! Ila Rubby kimziki tumesha kuzika
Kwa iyo akitoa ngoma mpya hutaisikiliza
 
Hukuna lolote, ni kutojiamini kwa wasanii tu, Sugu alimgusa kidogo tu akaishia kuomba suluhu kupitia Waziri Nchimbi na akina Tundu Lissu, kama alikuwa anaweza lile battle kilichomfanya akimbilie kuomba poo ni nini? Jide tu hapo wamemshindwa!!

Ukiangalia vizur utagundua ni kutojiamini tu kwa Wasanii wetu, kwa mfano huyo Ruby wanaosema kuwa walimbeba, mim nilisikia wimbo wake kupitia radio nyingine tofauti kabisa na nikamkubali, hali kadhalika hawa akina Raymond, Billnas na wengine waliochipukia majuzi, wote nilisikia nyimbo zao kupitia media nyingine na nikawaelewa.

Kitu ambacho wasanii wetu hawajaelewa ni kuwa, Wimbo mzuri ndio utambeba, promo ina nafasi yake ila kama unafanya nyimbo nzuri utatoboa bila hata hao watu!! Kuna nyimbo kibao kutoka mataifa mbali mbali zinapendwa sana hapa Tz, je hao mawingu ndio wanawabeba hao wasanii wa Kimataifa? Jibu ni hapana, Ubora wa Nyimbo zao ndio zinawabeba!! So kuwekeza tu kwny mziki wako ndio utakubeba na sio media fulani!! Kujitambua ni hazina kubwa sana!!


hapo umenishitua sana mkuu je ulipowasikia na kuwaelewa umewasaidia nini au umewachangia nini katika mziki wao.. KAMA KWELI UNATAKA KUWASAIDIA HAWA WASAII ANZISHA FIESTA YAKO NA MATAMASHA MENGI KILA MWEZI NCHI NZIMA NA UWALIPE SH MILLION 10 KWA SHOW HAPO UTAIANGUSHA CLOUDS NA UTAKUA UMEWAWEZESHA KWA VITENDO SIO KWA MANENO.. KUWAELEWA HAISAII CHOCHOTE KATIKA MAISHA YAO NA MZIKI WAO....CLOUDS NDIO KUNA FURSA
 
Dahh, mzee hawa watu wanawakamua kama unavyotafuna ganda la muwa halafu utamu ukiisha wanawabwaga kama hawawajui, hebu tizama watu kama Mabaga Fresh au Dully Sykes walivyo. Ni aibu kwa Dully kusota ofisi za Dangote lakini kwa kuwa hana jinsi inabidi ajibanze ili maisha yasonge.
Dully ka sign wcb?
 
HUYU SIJUI DYUDU BAYA SIJUI DUDU ZURI ASHAFILISIKA KISANII KWANI CLOUDS NDO WALIMFILISI HANA JIPYA AACHE KUBWABWAJA
HAJULIKANI POPOTE KWA SASA
NISHASEMAGA ALIYEWAHI KUNYONYWA NA CLOUDS ANYOOSHE KIDOLE
TUACHE UNAFIKI TUNAPONDA CLOUDS WAKATI SISI NDO NO MOJA KUSIKILIZA
Ningeshangaa Sana wewe muhudhuriaji wa Vipindi vya Zamaradi kama usinge tokea kwenye uzi huu.
 
Back
Top Bottom