Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Njaa Kali Ila Mondi mjanja kaona msimu wa fiesta huyooo!!shooting na neyo!Wagombanishe ili uwatawale kiurahisi
Hataki lawama!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa Kali Ila Mondi mjanja kaona msimu wa fiesta huyooo!!shooting na neyo!Wagombanishe ili uwatawale kiurahisi
Vinega haijaisha, vinega haikuwa ni sugu tu, ila wasanii wengiHakuna movement hapo, movement pekee niliyowahi kuikubali na kuiunga mkono ni ile ya Sugu na vinega, ila nilikuwa dissappointed sana mwisho wa hilo sakata ulivyoisha, tukaja kugundua kumbe shida ya Sugu ilikuwa ni kupigania tumbo lake na hakuwa na nia ya dhati ya kufanya harakati, alipopewa chake akawatelekeza hata wale waliomsaidia, ndo wakaja kustuka kumbe alikuwa anawatumia. Kuanzia kipindi kile sitaki kusikia kitu kinaitwa movement, acha Ruge aendelee kuwanyoosha kwa upumbavu wao
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kumbe ndo wewe unayemzimikia jux
Aiseee!!Mbona mtoto anamnyonya mama na mama anakubali kunyonywa.
Ni kweli mkuuClouds wanawafanya wasanii wakose kujiamini. Kila msanii anaona hawezi kujitegemea anapokuwa nje ya Clouds, inatakiwa wasanii wafunge mkanda ili kujinasua na huo ukoloni wa kifikra.
Hapana, diamond ashavuka kwenye kiwango cha kutumikishwaNjaa Kali Ila Mondi mjanja kaona msimu wa fiesta huyooo!!shooting na neyo!
Hataki lawama!!!
Haha bro ongea ukweli tu, ni kweli viongozi walimuomba ayamalize, but ni kwamba alilipwa chake alichokuwa anakidai then akakausha na kuyamaliza kimyakimya bila kuwashirikisha wenzakeVinega haijaisha, vinega haikuwa ni sugu tu, ila wasanii wengi
Ila sugu alipoingia bungeni aliombwa na mbowe mwenyekiti wake wa chadema, kupunguza msuguano na mawingu ili kuleta umoja wa wasanii
Sema sasa wasanii wa kuleta umoja wako wapi kaka!!!!! Hawa wanaotembezwa kwenye kosta mastaa 15 Kwenda kupiga show ya laki mbili
Mimi mwenyewe nilisapot sana vinega, na sikuridhika sana na ile brothers aggrement
Kuna wasanii walihisi wamesalitiwa kutokana na resolution ilivyoenda haraka haraka
Ila kiukweli Sugu hajawahi badilisha mtazamo wake kuhusu vinega
Mimi wa zamani namjua Mamba kama Ze dudu.Mamba ni Shetta🙂
Naunga mkono hoja mkuu ila ninashangaa kuna watu humu mpaka leo wanamtetea sugu.Hakuna movement hapo, movement pekee niliyowahi kuikubali na kuiunga mkono ni ile ya Sugu na vinega, ila nilikuwa dissappointed sana mwisho wa hilo sakata ulivyoisha, tukaja kugundua kumbe shida ya Sugu ilikuwa ni kupigania tumbo lake na hakuwa na nia ya dhati ya kufanya harakati, alipopewa chake akawatelekeza hata wale waliomsaidia, ndo wakaja kustuka kumbe alikuwa anawatumia. Kuanzia kipindi kile sitaki kusikia kitu kinaitwa movement, acha Ruge aendelee kuwanyoosha kwa upumbavu wao
[emoji13] [emoji13] [emoji13]... Eti ndani ya CostaKama komando JIDE, hamna kuyumbishwa, inasikitisha wasanii wakubwa wamejazwa ndani ya coaster dar hadi mikoani kisa kuiogopa clouds mwdia.
Ndio hivyo mkuu, nimeona jana clouds Tv, yaani wamebanana ktk costa wakitokea morogoro kuelekea Dom ambayo walitokea nayo Dar, ni aibu![emoji13] [emoji13] [emoji13]... Eti ndani ya Costa
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Kumbe ndo wewe unayemzimikia jux
Kuchamba ndio nini aisee?jamaa alimchamba sheta vibaya mno duuuuuuu matus hatar
nenda youtube ucheke duuu
Mkuu wewe mchokoziView attachment 402002
Unajisikiaje hapa mkuu?
Hata ni swali tu fetiMkuu wewe mchokozi