Dudu baya a.k.a mamba aichana chana clouds fm, amwagia sifa rubby

Dudu baya a.k.a mamba aichana chana clouds fm, amwagia sifa rubby

napenda avatar yako
28.jpg

Unajisikiaje hapa mkuu?
 
HUYU SIJUI DYUDU BAYA SIJUI DUDU ZURI ASHAFILISIKA KISANII KWANI CLOUDS NDO WALIMFILISI HANA JIPYA AACHE KUBWABWAJA
HAJULIKANI POPOTE KWA SASA
NISHASEMAGA ALIYEWAHI KUNYONYWA NA CLOUDS ANYOOSHE KIDOLE
TUACHE UNAFIKI TUNAPONDA CLOUDS WAKATI SISI NDO NO MOJA KUSIKILIZA
Vijana wa 2000's hamjui fitina za mawingu nyie
Huu mziki una jasho la watu waliouhangakia kufikisha hapa
 
Unamjua Kalapina? Aliwahi kuwachanachana Cloudz kuliko hata bwana Mamba lakini leo hii anamlamba miguu Ruge. Yule muhaya muache tu, wengine Mapacha unakumbuka hatma yao?
Mkuu hii ni movement haitaisha leo wala kesho
Muhaya ipo siku atahama nchi, maana watu wanakufa na madini yao geton

Sio mapacha tu, au kala tu, kuna wapo wanacheka na ruge lkn hawaridhik na situation hata kidogo
 
Hivi kuna ukweli kwamba wananyonywa??

Hao wanaonyonywa nao wamekubali kunyonywa.??

Ni vigumu sana kukubali mtu anaweza kunyonywa na kuendelea kukubali kunyonywa tu!!
Mkuu fitina za mawingu ni zaidi ya ujuavyo wewe
 
Mkuu hii ni movement haitaisha leo wala kesho
Muhaya ipo siku atahama nchi, maana watu wanakufa na madini yao geton

Sio mapacha tu, au kala tu, kuna wapo wanacheka na ruge lkn hawaridhik na situation hata kidogo
Hakuna movement hapo, movement pekee niliyowahi kuikubali na kuiunga mkono ni ile ya Sugu na vinega, ila nilikuwa dissappointed sana mwisho wa hilo sakata ulivyoisha, tukaja kugundua kumbe shida ya Sugu ilikuwa ni kupigania tumbo lake na hakuwa na nia ya dhati ya kufanya harakati, alipopewa chake akawatelekeza hata wale waliomsaidia, ndo wakaja kustuka kumbe alikuwa anawatumia. Kuanzia kipindi kile sitaki kusikia kitu kinaitwa movement, acha Ruge aendelee kuwanyoosha kwa upumbavu wao
 
Back
Top Bottom