Dudu baya a.k.a mamba aichana chana clouds fm, amwagia sifa rubby

Dudu baya a.k.a mamba aichana chana clouds fm, amwagia sifa rubby

Kama mwana FA nae yuko kwenye fiesta na akina Nuh Mziwanda ni aibu sana...alitakiwa awe mbali sana kwenye game kitambo
Mwana FA kuwa pamoja na akina nuhu mziwanda sidhani kama ni tatizo. Wanaweza kuwa pamoja swali jiulize je wanalipwa amount sawa nadhani jibu ni total different. Mbona Neyo anafanya music na diamond. Mbona diamond kafanya music na papa wemba.
 
Hivi hawa wasanii wa bongo hawawezi kujichanga wakaanzisha kituo chao binafsi cha radio na TV ili waache kuwaabudu watu?Maana kiukweli kwa matamasha kama haya ya Fiesta hayana faida yoyote kwao bali wanaenda tu kwa kuwa wakikataa nyimbo zao hazipigwi.Ni aibu sana!
 
Hao wasiofanya kazi na wanyonyaji Clouds mbona ni choka mbaya tu Dudubaya mwenyewe akiwemo.

Kina Songa wakianza ku-park helicopter nitaamini hizi hekaya otherwise hizi ni ngonjera tu.

Dudubaya amekuwa akitapatapa ku-make headlines kila akipata interview.

Mara "Mr Blue kaniibia jina" mara Chid Benz hivi.

Muulizeni mara ya mwisho kufanya show ilikuwa lini na wapi?

Jamaa alichezea ALPHA yake atulie sasa kwenye OMEGA.
 
Kinachoendelea pale Clouds mtakuja kukijua baadae sanaaa. Tena saaaaana.

Wale ni wafanya biashara, Bongo fleva kwao ni opportunity.

Nitajie promota anayefanya kazi hiyo kama hobby.
 
Mwana FA kuwa pamoja na akina nuhu mziwanda sidhani kama ni tatizo. Wanaweza kuwa pamoja swali jiulize je wanalipwa amount sawa nadhani jibu ni total different. Mbona Neyo anafanya music na diamond. Mbona diamond kafanya music na papa wemba.
hata kama analipwa laki tano. Nuh laki mbili ni aibu sana kwa mtu wa calibre yake kuzungurushwa kwenye coaster na akina nuh...amejiaibisha sana
 
Mnachotaka kuaminisha watu hapa ni kuwa nyie mnaochangia humu ni Werevu kuliko hao Wasanii wanaoshiriki Fiesta?

Kuna siku nilikuwa na mazungumzo na Tajiri mmoja maarufu pale Arusha...baadae alitaka kuagiza vifaa vinavyogharimu pesa nyingi sana, papo hapo, nilipoonyesha wasiwasi akaniambia 'mimi hutumia jina kuagiza Kaka'...na ndivyo alivyofanya, alitumia simu yake tukiwa tumekaa pale pale.

Ukisoma hii michango humu jibu ni rahisi sana....hao Clouds wameshajenga brand yao.

Nilichojifunza kwa yule Bwana Tajiri wa Arusha ni kuwa, kutokana na jina lake hata hao/wale anaowapigia simu kuleta vifaa kwake ni faraja kubwa kwao hata kabla ya kufikiria wanalipwa lini na vipi.

Labda wengi wetu humu sio Wafanya biashara ndio maana ni vigumu sana kuipata hiyo picha hapo...Wasanii wanaelewa na hicho ndio muhimu zaidi.

Hivi kweli kwa hali ilivyo sasa utaandaa show ya Dudu baya si unatafuta balaa? si ni bora tu nimruhusu anitukane kuliko nikapate hasara.
 
Mimi ningekua Masoud Kipanya ningechora eneo lina Nyumba nyiiiingi, zote zina lebo mlangoni ya 'Redio station' alafu kuna umati wa Wanainchi/Wasanii kama milioni kadhaa hivi, wote wamezunguka nje ya Redio moja...wakiwa na CD mkononi wakipiga kelele 'kama msipocheza nyimbo yangu nyie ni wanyonyaji'

Hivi kwa nini sio TBC wanaostahili shutuma hizi?
 
Sijauliza ikiwa katoa wimbo au hapana... nimehoji, mara yako ya mwisho kusikia ngoma ya Dudubaya ni lini na kupitia station gani?! Na nimeuliza wimbo wake wa mwisho ku-hit ni upi?! Aidha nikahoji, ikiwa mwaka 2013 alikuwapo kwenye Fiesta, mwaka 2104 akaomba kupanda kwenye jukwaa la Fiesta! Mwaka 2015 hakukua na Fiesta! Sasa huo ubaya wa Fiesta umeanza 2016 kwavile hayupo kwenye list?!
Yeye kasema clouds ni wanyonyaji na wana miaka sita hawajapiga ngoma zake
Nadhan umeelewa hayo ya kuomba kupanda kwenye jukwaa sina jibu
 
Mamba aka the dudu baya oil chafu ukinigusa nakuchafua, nilikuelewa sana na lile songi lako jipya la Kokoriko maana lina amsha amsha ile mbaaaaya......wewe ndo king wa mtoni wengine kenge tu
 
Totally right mostly of haters they no nothing about music business... Kuna comments zinatia simanzi mtu yupo huko vijijini hajui biashara ya mjini ikoje anawashauri wasanii waikimbie clouds??? Huyo dudubaya kwa sasa amechoka mbaya kazi kugongea bia na konyaji akikutana na wadau clubs..Jambo zito la kujiuliza ni kwanini high percentage ya wanaokimbia clouds hubaki maskini wa kutupwa na kuacha mziki jumla... kama kuna njia mbadala kwa nini wasiende huko wakati wanapokimbia clouds.Biashara za mziki Tanzania bado ni risk sana ndio maana makampuni na stations/tv nyingi zimegoma kuanzisha matamasha makubwa yenye formula inayoeleweka kama clouds...Pia jambo la kujiuliza ni kwanini hawa wasanii wakiondoka clouds huanza kulia lia kama watoto eti clouds imeua muziki wao kwani clouds ndio baba yao au ndio media pekee Tanzania.. Hawa waliojaribu kufanya tuwapongeze sana
Upo unaelewa vizuri fitina za mawingu?

Mfn mdogo tu, usipotii mamlaka yao hata km ni ya kinyonyaji, wasanii wengine wanaoabudu clouds wanakatazwa kurekodi kugonga ngoma pmj ya kushirikiana na wewe, sasa jiulize hapo
 
Cloooooooooooooooooooooouds fm,wale jamaa ndio Tbs na Tfda ya burudani hapa Bongo,kama wimbo wako hawajaupasisha basi katunge mwingine, nawapenda sana wazee wa burudani.


kwahiyo nyimbo za JIDE zinazotamba pia wamezipasisha clouds media ?
 
Mkuu maisha ujamuona Fid Q yupo kwenye costa na wakina shilole
Hahahaha fid q hana mipango yule pmj na lyrics zake kali, anawekwa kapu moja na kina man fongo
Mwana FA kuwa pamoja na akina nuhu mziwanda sidhani kama ni tatizo. Wanaweza kuwa pamoja swali jiulize je wanalipwa amount sawa nadhani jibu ni total different. Mbona Neyo anafanya music na diamond. Mbona diamond kafanya music na papa wemba.
 
Bila kuongelea Clouds Media naona watu hawana pa kupatia kiki

Kama wasanii wangekuwa wanalipwa pesa mbaya si wangeenda kwingine.

Mkubali kuwa Clouds kwa jina.wamejijenga na mengi hata iweje...wakongwe wa mengi nchini.
Kila lenye manzo lina mwisho
 
Hivi hawa wasanii wa bongo hawawezi kujichanga wakaanzisha kituo chao binafsi cha radio na TV ili waache kuwaabudu watu?Maana kiukweli kwa matamasha kama haya ya Fiesta hayana faida yoyote kwao bali wanaenda tu kwa kuwa wakikataa nyimbo zao hazipigwi.Ni aibu sana!
Ndio hivo mkuu wanachofaidi kule ni kuwatafuna watoto tu, ila dar hawarudi na marundo ya pesa
 
Back
Top Bottom