kupe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 1,035
- 328
Mwana FA kuwa pamoja na akina nuhu mziwanda sidhani kama ni tatizo. Wanaweza kuwa pamoja swali jiulize je wanalipwa amount sawa nadhani jibu ni total different. Mbona Neyo anafanya music na diamond. Mbona diamond kafanya music na papa wemba.Kama mwana FA nae yuko kwenye fiesta na akina Nuh Mziwanda ni aibu sana...alitakiwa awe mbali sana kwenye game kitambo