Dudu Baya amshusha kwenye gari na kisha kumkaba Saimon Mkondya (Mr Manguruwe)

Mental case
 
Dudubaa amemvaa Mr Manguruwe na kumshusha kwenye gari lake kisha kumkaba koo akidai kwamba amemdhalilisha kwa kutaka kumuajiri kusafisha mabanda ya nguruwe.
Umasikini huwa unaambatana na ukichaa...sasa kuambiwa atapewa ajira ndio akamkabe mwajiri mtarajiwa!?
Kama hataki hiyo ajira, apotezèe.

Tutafuteni pesa akili zifanye kazi vizuri.
Ninawaza tu..kama huyo ma-pig angesema anataka kumwajiri Mondi, ingekuwa ni amani kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…