Dudu Baya amshusha kwenye gari na kisha kumkaba Saimon Mkondya (Mr Manguruwe)

Dudu Baya amshusha kwenye gari na kisha kumkaba Saimon Mkondya (Mr Manguruwe)

Hivi huyu Manguruwe ni nani na katokea wapi? lengo lake nini?

Leo kakutana na kipondo cha Dudu baya kwa madai ya kumkashifu.

Siku chache baada ya mfanyabiashara na mmiliki wa mradi wa kijiji cha nguruwe, Saimon Mkondya kumsemea mbovu msanii mkongwe nchini Dudubaya, msanii huyo amemtimbia na kulianzisha.

Dudubaa amemvaa Mr Manguruwe na kumshusha kwenye gari lake kisha kumkaba koo akidai kwamba amemdhalilisha kwa kutaka kumuajiri kusafisha mabanda ya nguruwe.
Mental case
 
Dudubaa amemvaa Mr Manguruwe na kumshusha kwenye gari lake kisha kumkaba koo akidai kwamba amemdhalilisha kwa kutaka kumuajiri kusafisha mabanda ya nguruwe.
Umasikini huwa unaambatana na ukichaa...sasa kuambiwa atapewa ajira ndio akamkabe mwajiri mtarajiwa!?
Kama hataki hiyo ajira, apotezèe.

Tutafuteni pesa akili zifanye kazi vizuri.
Ninawaza tu..kama huyo ma-pig angesema anataka kumwajiri Mondi, ingekuwa ni amani kabisa.
 
Back
Top Bottom