Dudu Baya amshusha kwenye gari na kisha kumkaba Saimon Mkondya (Mr Manguruwe)

Dudu Baya amshusha kwenye gari na kisha kumkaba Saimon Mkondya (Mr Manguruwe)

Utopolo karibuni Manguruwe kuna ya kuchoma na kurost...
Inaenda na chachandu ya ubaya ubwelaa
 
Anakuambia Vichwa vya Nguruwe vinaongeza Nguvu za kiume
Nguvu za kiume au funza tu kichwani.
Nguruwe ukila hovyo jiandae minyoo na maradhi ya ajabu km majipu na upele sehemu za siri.
Utamu wake kula ikiwa imeiva haswa.
 
Back
Top Bottom