Dudu baya apewa simu na milion Moja kama pongezi ya kukemea ushoga

Dudu baya apewa simu na milion Moja kama pongezi ya kukemea ushoga

Mkurugenzi wa Mkombozi Furniture, Leo amemuita Dudu Baya ofisini na kumpa Zawadi ya kiasi Cha shilingi milioni Moja na simu mpya.

Pia mkurugenzi huyo amempa nafasi Dudu Baya ya kuchagua kitu chochote Dukani hapo, Na Dudu Baya amechagua kiti chenye thamani ya laki nane.

Mkurugenzi huyo ame Waomba Watu wampe sapoti Dudu Baya Kwa kazi hiyo anayo ifanya ya Kukemea Ush*ga, pia ameziomba taasisi zote za dini kuunga mkono juhudi za Dudu Baya.

<<<<

Je mko tayari Kwa kampeni ya Kumchangia Dudu baya?View attachment 3676007
Sema haya mambo bwana hayana mwenyewe unaweza kuta jamaa na ugumu wote huo ila aidha alishainamishwa au alishainamisha au anainamishwa au anainamisha

Tulio na D mbili tutaelewa
 
😂😂😂 wale wapuuzi, watu mambo yenu eti mnakodi ghetto la mtu mfanyie huo mchezo. Ni rahisi kuchomwa.

Watu wako kwenye apartments zao, hao waja wanatokea wapi? Raha ya ushoga ujiweze na ujimudu.

Watu weweeee, 😂😂😂
Nilikua najiuliza kwann unatetea Sana usengelema ila kupitia hii comment yako nishakujua kama wewe ni nani
 
😂😂😂 wale wapuuzi, watu mambo yenu eti mnakodi ghetto la mtu mfanyie huo mchezo. Ni rahisi kuchomwa.

Watu wako kwenye apartments zao, hao waja wanatokea wapi? Raha ya ushoga ujiweze na ujimudu.

Watu weweeee, 😂😂😂
Nilikua najiuliza kwann unatetea Sana usengelema ila kupitia hii comment yako nishakujua kama wewe ni
 
Mkurugenzi wa Mkombozi Furniture, Leo amemuita Dudu Baya ofisini na kumpa Zawadi ya kiasi Cha shilingi milioni Moja na simu mpya.

Pia mkurugenzi huyo amempa nafasi Dudu Baya ya kuchagua kitu chochote Dukani hapo, Na Dudu Baya amechagua kiti chenye thamani ya laki nane.

Mkurugenzi huyo ame Waomba Watu wampe sapoti Dudu Baya Kwa kazi hiyo anayo ifanya ya Kukemea Ush*ga, pia ameziomba taasisi zote za dini kuunga mkono juhudi za Dudu Baya.

<<<<

Je mko tayari Kwa kampeni ya Kumchangia Dudu baya?View attachment 3676007
Kiti
 
Kwani haupo? Mbona upo sana, sihalalishi, ila natetea watu kuwa na uhuru wa faragha na uelekeo wao wa kingono..
Kwahyo unaona ni sawa jamiii ya kiume kuteketea shangazi ivi una mtoto wakiume wewe kweli?? Je imagine mf. Mwanao wa kiume Anakua shoga unajiskiaje 😖
 
Badala ya kushindwa kupambania katiba mpya na mambo ya msingi kwa mustakabali wa taifa, mmeona hasira zenu mzimalizie kwa mashoga?
Poleniii 😂😂😂😂
Amini nakuambia hakuna mustakabali mwema kwa Taifa kama wanaume wataamua kuona na wanawake wakiamua kuoana wao kwa wao. Kizazi kijacho kutengemeza mustakabali wa Taifa kitatoka wapi?
 
Amini nakuambia hakuna mustakabali mwema kwa Taifa kama wanaume wataamua kuona na wanawake wakiamua kuoana wao kwa wao. Kizazi kijacho kutengemeza mustakabali wa Taifa kitatoka wapi?
Acha fix, na hawa wa sasa au waliopita walishindwa kisa nini??
 
Ushoga unapingwa kwa kutazama mantiki ya nature from the grass roots nje kabisa na misingi ya hizi dini tulizonazo nje na misingi ya sheria za nchi
Tukitudi katika nature, nature haitambui kitu kinachoitwa uzinzi, nature inatambua reproduction, sifa ya kibaiolojia ambayo viumbe huzaliana ili kuendeleza kizazi (continuity of species)

Sasa nature hii ya reproduction imegawanyika katika makundi mawili, asexual reproduction ambayo kiumbe mmoja huzaa kiumbe mwingine bila kuhitajika kiumbe wa kushirikiana naye
Na aina ya pili ni sexual reproduction ambayo viumbe wawili wa species moja wa JINSIA TOFAUTI (yani me na ke) hukutana na kuzaa kiumbe
Mkutano huo huusisha kukutana kwa sexual organs zao yani uume na uke, na nature ndo inakita nanga hapo kwamba organs zinzotakiwa kukutana ma uume na uke nje na hapo nature inakuwa imekiukwa (yani hakuna hatima ya reproduction) na hapo ndipo huja hayo mambo ya ushoga

Hivyo basi hata kama mwanaume mmoja atatembea na wanawake 20, ila as long as uume wale unakutana na uke za hao wanawake basi hakuna shida yoyote(hii ni nature nje kabisa na perspective za utashi wa kibinadamu ulio define na kuweka category za ndoa na uzinzi)
Na hata kama mwanamke mmoja atatembea na wanaume 20 as long as uke wake unakutana na miuume ya hao wanaume na si vinginevyo bado hakuna shida (sababu nature inakuwa haijakiukwa)

Ili uelewe vizuri hapa ondoka kabisa katika box la utashi wa la kibinadamu, iangalie nature kupitia wanyama, kuku mmoja anaweza akapandwa na majogoo hata sita, na jogoo mmoja anaweza alawapanda hata matetea 10 hakuna shida sababu nature inatimizwa, uke unakutana na uume, sasa kumbuka kuku hawana utashi wowote wa kibinadamu, hawaijui dini, hawaijui bible wala Quran, hawazijui sheria za nchi ila wanaifanya nature vile nature inavyotaka the same applies kwa viumbe wengine wote
Kumbe basi hata sisi tulipaswa kwenenda hivyo hivyo kama wao as long as uke unakutana na uume hakuna shida

Mbwmbwe za mabox ya dini, sheria za nchi, mitazamo ya kijamii ndo vimetufanya tuone kuwa anayetembea na wapenzi wengi (hata kama uume wake/uuke wake unakutana na wa huyo anayekutana naye) tunamhesabu katika mizani ile ile sawa sawa na mtu anayefanya ushoga na usagaji kitu ambacho sio sahihi kabisa kwa mujibu wa nature

Hivyo dudu baya kukemea ushoga yuko sahihi hata kama yeye anatembea na wanawake wengi na anawazalisha, nature inataka continuity of species OVER, hayo mambo ya sijui ni zinaa, sijui uasherati ni mbwembwe tu zilizotokea kwenye mantiki za kidini na mitazamo ya kijamii ila nature haitambui kitu kinachoitwa uzinzi, nature inatambua mkutano wa halmashauri kuu ya uke+ume OVER.
 
Back
Top Bottom