Dudu baya apewa simu na milion Moja kama pongezi ya kukemea ushoga

Dudu baya apewa simu na milion Moja kama pongezi ya kukemea ushoga

Mkurugenzi wa Mkombozi Furniture, Leo amemuita Dudu Baya ofisini na kumpa Zawadi ya kiasi Cha shilingi milioni Moja na simu mpya.

Pia mkurugenzi huyo amempa nafasi Dudu Baya ya kuchagua kitu chochote Dukani hapo, Na Dudu Baya amechagua kiti chenye thamani ya laki nane.

Mkurugenzi huyo ame Waomba Watu wampe sapoti Dudu Baya Kwa kazi hiyo anayo ifanya ya Kukemea Ush*ga, pia ameziomba taasisi zote za dini kuunga mkono juhudi za Dudu Baya.

<<<<

Je mko tayari Kwa kampeni ya Kumchangia Dudu baya?View attachment 3676007
Duh! Haya, tunapoelekea twajuwa wenyewe!
 
Mimi sidhani kama hizi harakati zitafanikiwa kuumaliza ushoga. Sioni kama ni ugonjwa ulioibuka siku fulani ukapona kwa kampeni, wala sidhani kama ni jambo linalosababishwa na mtu kuamua tu kuwa hivyo.

Sexual orientation ni jambo ambalo sababu zake ni complex, na kwa baadhi ya watu huonekana tangu mapema maishani.

Sasa ni ngumu kupambana na hali ambayo imekuwepo kwenye jamii mbalimbali kwa muda mrefu, wakati baadhi ya jamii zenye ushawishi mkubwa duniani tayari zimeikubali.

Unaweza kupinga kimaadili au kidini, lakini kuamini utaimaliza kabisa kwa kampeni za watu binafsi ni jambo lingine.
 
Unaamini Dudu baya yuko ktk harakati? Huyo ni kichaa aliyesahaulika na ameamua atafute trendz kwa njia hiyo na kafanikiwa.
 
Ukisema kichaa wabongo wengi hawataelewa watasema we better watch our back 🤣🤣
Waseme tu ila dudu baya ni kichaa, kwanza ajiulize mbona serikali haimuungi mkono? Na acheze kwa step, kuna sehemu akigusa ndipo ataelewa, amuulize makonda tena akiwa mkuu wa mkoa. Sembuse yeye mlevi wa visungura na nyagi feki.
Lol 😂😂😂😂
 
Badala ya kushindwa kupambania katiba mpya na mambo ya msingi kwa mustakabali wa taifa, mmeona hasira zenu mzimalizie kwa mashoga?
Poleniii 😂😂😂😂
Kwa hiyo waache kimoja waanze na hiyo katiba,siyo?
 
Ushoga unapingwa kwa kutazama mantiki ya nature from the grass roots nje kabisa na misingi ya hizi dini tulizonazo nje na misingi ya sheria za nchi
Tukitudi katika nature, nature haitambui kitu kinachoitwa uzinzi, nature inatambua reproduction, sifa ya kibaiolojia ambayo viumbe huzaliana ili kuendeleza kizazi (continuity of species)

Sasa nature hii ya reproduction imegawanyika katika makundi mawili, asexual reproduction ambayo kiumbe mmoja huzaa kiumbe mwingine bila kuhitajika kiumbe wa kushirikiana naye
Na aina ya pili ni sexual reproduction ambayo viumbe wawili wa species moja wa JINSIA TOFAUTI (yani me na ke) hukutana na kuzaa kiumbe
Mkutano huo huusisha kukutana kwa sexual organs zao yani uume na uke, na nature ndo inakita nanga hapo kwamba organs zinzotakiwa kukutana ma uume na uke nje na hapo nature inakuwa imekiukwa (yani hakuna hatima ya reproduction) na hapo ndipo huja hayo mambo ya ushoga

Hivyo basi hata kama mwanaume mmoja atatembea na wanawake 20, ila as long as uume wale unakutana na uke za hao wanawake basi hakuna shida yoyote(hii ni nature nje kabisa na perspective za utashi wa kibinadamu ulio define na kuweka category za ndoa na uzinzi)
Na hata kama mwanamke mmoja atatembea na wanaume 20 as long as uke wake unakutana na miuume ya hao wanaume na si vinginevyo bado hakuna shida (sababu nature inakuwa haijakiukwa)

Ili uelewe vizuri hapa ondoka kabisa katika box la utashi wa la kibinadamu, iangalie nature kupitia wanyama, kuku mmoja anaweza akapandwa na majogoo hata sita, na jogoo mmoja anaweza alawapanda hata matetea 10 hakuna shida sababu nature inatimizwa, uke unakutana na uume, sasa kumbuka kuku hawana utashi wowote wa kibinadamu, hawaijui dini, hawaijui bible wala Quran, hawazijui sheria za nchi ila wanaifanya nature vile nature inavyotaka the same applies kwa viumbe wengine wote
Kumbe basi hata sisi tulipaswa kwenenda hivyo hivyo kama wao as long as uke unakutana na uume hakuna shida

Mbwmbwe za mabox ya dini, sheria za nchi, mitazamo ya kijamii ndo vimetufanya tuone kuwa anayetembea na wapenzi wengi (hata kama uume wake/uuke wake unakutana na wa huyo anayekutana naye) tunamhesabu katika mizani ile ile sawa sawa na mtu anayefanya ushoga na usagaji kitu ambacho sio sahihi kabisa kwa mujibu wa nature

Hivyo dudu baya kukemea ushoga yuko sahihi hata kama yeye anatembea na wanawake wengi na anawazalisha, nature inataka continuity of species OVER, hayo mambo ya sijui ni zinaa, sijui uasherati ni mbwembwe tu zilizotokea kwenye mantiki za kidini na mitazamo ya kijamii ila nature haitambui kitu kinachoitwa uzinzi, nature inatambua mkutano wa halmashauri kuu ya uke+ume OVER.
Kongole kwa uchambuzi "konki" ambao hata mtoto mdogo anauelewa bila shida.
Ushoga haukubaliki kiasili, kidini wala kijamii.
Tuupinge kwa nguvu zote.

Kaka yangu wa damu (baba mmoja na mama mmoja) imebidi aasili (adopt) mtoto,huku huyo kaka akiwa na umri wa miaka 62 baada ya kugundua watoto wake "wenye uume" (maana tukisema wakiume si kweli) wawili wa pekee ni mashoga, tena ambao hawana mpango wa kuwa na watoto!

Kwa hiyo hili jambo si la kulichekea kamwe,ni la kulipinga kwa hali na mali.
 
ASANTE
 
Back
Top Bottom