Dudu baya apewa simu na milion Moja kama pongezi ya kukemea ushoga

Duh! Haya, tunapoelekea twajuwa wenyewe!
 
Mimi sidhani kama hizi harakati zitafanikiwa kuumaliza ushoga. Sioni kama ni ugonjwa ulioibuka siku fulani ukapona kwa kampeni, wala sidhani kama ni jambo linalosababishwa na mtu kuamua tu kuwa hivyo.

Sexual orientation ni jambo ambalo sababu zake ni complex, na kwa baadhi ya watu huonekana tangu mapema maishani.

Sasa ni ngumu kupambana na hali ambayo imekuwepo kwenye jamii mbalimbali kwa muda mrefu, wakati baadhi ya jamii zenye ushawishi mkubwa duniani tayari zimeikubali.

Unaweza kupinga kimaadili au kidini, lakini kuamini utaimaliza kabisa kwa kampeni za watu binafsi ni jambo lingine.
 
Unaamini Dudu baya yuko ktk harakati? Huyo ni kichaa aliyesahaulika na ameamua atafute trendz kwa njia hiyo na kafanikiwa.
 
Ukisema kichaa wabongo wengi hawataelewa watasema we better watch our back 🀣🀣
Waseme tu ila dudu baya ni kichaa, kwanza ajiulize mbona serikali haimuungi mkono? Na acheze kwa step, kuna sehemu akigusa ndipo ataelewa, amuulize makonda tena akiwa mkuu wa mkoa. Sembuse yeye mlevi wa visungura na nyagi feki.
Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Badala ya kushindwa kupambania katiba mpya na mambo ya msingi kwa mustakabali wa taifa, mmeona hasira zenu mzimalizie kwa mashoga?
Poleniii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa hiyo waache kimoja waanze na hiyo katiba,siyo?
 
Kongole kwa uchambuzi "konki" ambao hata mtoto mdogo anauelewa bila shida.
Ushoga haukubaliki kiasili, kidini wala kijamii.
Tuupinge kwa nguvu zote.

Kaka yangu wa damu (baba mmoja na mama mmoja) imebidi aasili (adopt) mtoto,huku huyo kaka akiwa na umri wa miaka 62 baada ya kugundua watoto wake "wenye uume" (maana tukisema wakiume si kweli) wawili wa pekee ni mashoga, tena ambao hawana mpango wa kuwa na watoto!

Kwa hiyo hili jambo si la kulichekea kamwe,ni la kulipinga kwa hali na mali.
 
ASANTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…